Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Unashukuru nini sasa?Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Kwa kuteua Mwenyekiti wa bodi fullstop!Unashukuru nini sasa?
Ukitopea kwenye ' mahaba' huwezi kuelewa kinachoendelea nchini hadi pale mahaba yatakapokubabua!8 Signs Your IQ Is Lower Than Average
![]()
Hakika mkuu!Ndivyo ulimwengu wa giza na mwanga ulivyo!
Umeona mkuu!!Ki ukweli hii imekuwa habari mpya kwangu pia!
Ndiooo
Kweli kabisa mkuu. Vilaza ni wengi sana uku kwenye uchumi na biashara uwakuti. Kazi wao kushangilia siasa za kipuuzi upuuzi tuuu zisizokuwa, na mbele wala nyumaAthari ya kuwa na vilaza Wengi nchini...
Wewe unayajua yote!unashanga?!!!!
utamaliza muda wako hapa duniani ukishangaa tu maana kuna mengi usiyoyajua bado!
Maadamu serikali ndio imetoa mwenyekiti wa board wa tipper Na puma hizo kampuni mbili zitatengeneza pesa hadi basi kwani mafuta yasiyosafishwa toka uganda yatasafirishwa kwa meli toka tanga hadi dar kiwanda cha tipper yakishasafishwa Tanzania Na nchi zote za afrika mashariki na kati hazitahitaji kununua mafuta uarabuni mafuta yaliyosafishwa Puma watakuwa ndio wauzaji wakuu na wasambazaji wa mafuta yaliyosafishwa kiwanda cha tipper Tanzania Magufuli hoyeee
Ni biashara tu itafanyika.Kumbuka wenye mafuta na bomba ni kampuni ya TOTAL ambayo ipo nchini Tanzania siku nyingi.
Inawezekana vipi Puma ambayo haina mchango wowote kwenye bomba na mafuta wawe ndio wasambazaji wakuu wa mafuta hapa nchini Tanzania?
Hahahaaaa..,...mkuu hiyo ni utii bila shuruti!Nilivyoona tu wamenunua mashine za tra kwa fujo nikashtuka kuna mchongo wamepewa soon nikaona ban kwa vituo vingine vya mafuta nikajua tu serikali inachake pale