Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,852
CCM mpaka leo hujui kama serikali ina hisa na siyo mmiliki mkuu halafu unapongeza serikali ya awamu ya 5 kwa lipi ?
Shuleni mlienda kusugua madawati
Shuleni mlienda kusugua madawati
Total wanaangalia ni faida tu kwa Nini wasafirishe mafuta ghafi uarabuni au ulaya yakasafishwe huko halafu yarudi Tanzania wakiuza wapate faida ndogo wakati yangesafishwa Tanzania jirani faida inakuwa kubwa kuliko kusafirisha mafuta gafi? Ujue huko wanakopeleka hawana kiwanda cha kusafisha mafuta ni vya kampuni zingine .sasa hapa kama kuna kiwanda shida ya nini waweza safisha mafuta yote Tanzania kiwanda cha tipper kisha wakasafirisha nje yasiyosafishwa au kuuza Ndani issue ni kuwa whatever method they use mwisho wa siku iwe kupitia Tipper Total au Puma tutavuna pesa
Mkuu usiumize kichwa chadema original wenye akili wa Ndani na nje ya nchi waliondoka na Slaa hawa waliopo wengi wanywa viroba vilivyopigwa marufuku, konyagi na gongo usipoteze muda wako
Kweli kabisa mkuu. Dr. Slaa aliondoka na Chadema wote wenye akili na wengi waliachana na maswala ya siasa.Mkuu usiumize kichwa chadema original wenye akili wa Ndani na nje ya nchi waliondoka na Slaa hawa waliopo wengi wanywa viroba vilivyopigwa marufuku, konyagi na gongo usipoteze muda wako
mpaka Tanzania 
Vitu vibaya vinatofautiana.Slaa na chadema yake aliyokuwa nayo pamoja Na kua ilikuwa mbaya sio sawa na hii iliypo hii ni worse kuilinganisha na Ya Slaa ni kumdhalilisha mzee wa watu
Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Kutojua kitu flan kimoja sidhani kama ni ukilaza asilaniAthari ya kuwa na vilaza Wengi nchini...
Hata hivyo bado nakupenda.Athari ya kuwa na vilaza Wengi nchini...
Ahsante mkuu kwa rejea ya uhakika kabisa!..serikali kuwa na hisa Puma Energy siyo habari mpya.
..Bodi ya wakurugenzi inayoondoka iliteuliwa na JK na Prof.Muhongo mwaka 2014.
..soma taarifa ya serikali kwa umma hapa chini.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Simu: +255 22 2117156-9
Nukushi: +255 22 2111749
Barua pepe: ps@mem.go.tz
Unapojibu tafadhali taja:
nembo
754/33 MTAA WA SAMORA,
S. L. P. 2000,
DAR ES SALAAM.
TAARIFA YA UMMA
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA PUMA ENERGY (T) LTD NA WAKURUGENZI WA BODI
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd). Uteuzi huo wa Dkt. Ben Moshi ni wa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014.
Kutokana na uteuzi huo Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.) amewateua wafuatao, kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya PUMA Energy (T) Ltd kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014:
Mhandisi Dkt. Malima MP. Bundara, Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha GARETRACE;
Bw. Solomon R.M. Odunga; Katibu Mkuu Mstaafu;
Bw. James Andilile, Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini; na
Bw. Daniel N. Nsanzugwanko, Mtaalam Mshauri wa masuala ya biashara.
Imetolewa na
KATIBU MKUU
Puma Energy imekuwa hivyo hata kabla ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani-fanya utafiti kwanza kabla ya kuandikaKiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Mkuu hata kuja kwangu hapa Jf ni sehemu ya utafiti, au wewe unaamini jf ni ya wanamipasho tu!Puma Energy imekuwa hivyo hata kabla ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani-fanya utafiti kwanza kabla ya kuandika
Hujaelewa nilichomaanisha. Na asiejua maana,haambiwi maana.Kutojua kitu flan kimoja sidhani kama ni ukilaza asilani
Kwani wewe wajua kila kitu?
Mungu amesema tupendaneHata hivyo bado nakupenda.
Kwanini haambiwi maana?Hujaelewa nilichomaanisha. Na asiejua maana,haambiwi maana.
Ukijileta na maana yako bila ya kujua mwenzio kamaanisha nini,abadani huambiwi unaachwa ujifanye unajua kumbe unaungua jua.Kwanini haambiwi maana?
Bado hujanijibu swali nililokuuliza..! kwasababu nimeuliza maana nikiwa siijui sio kwamba nimekuja na maana yangu.Ukijileta na maana yako bila ya kujua mwenzio kamaanisha nini,abadani huambiwi unaachwa ujifanye unajua kumbe unaungua jua.