Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

Kwa taarifa ni kila mgodi au Mali ya Umma kuna watu wa kutoka vitengo maalum kufatilia ya kila kinachoendelea usiku na mchana.

Ripoti hizo wanapeleka kwenye vitengo vyao na kumfikia Mkuu wa nchi kwa maamuzi ya mwisho ya kuchukua kila siku.
Hao watu unaosema ni wa vitengo ndiyo hovyo kabisa wanampotosha mkuu
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama cjakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Mkuu sisi wengine tumeamua kujinyamazia tu .
 
I wish tume huru iundwe watanzania watashangaa uongo uliopo kwenye ripoti ya Mruma, na wataaibika kweli kweli
Bila hata kungoja tume huru, facts zinawaumbua. Inawezekanaje kontena 277 za makinikia zitoe tani 15 za dhahabu? Kama ndio, kwa nini mmiliki wake asafirishe tani hizo za dhahabu kwa barabara tena bila ulinzi wakati gold bars zinaenda kwa ndege tena baada ya kulipa bima kubwa? Kwa nini makinikia yenye dhahabu nyingi yanamwagwa nje mgodini wakati gold bars zinafungiwa gold room kwa ulinzi mkali? Kwa kweli Mruma alimdanganya JPM period.
 
Ni mpigaji halafu ana roho ya wivu kwa wenzie..
Unajua Prof Mruma alishastaafu miaka 2 iliyopita, yuko kwa mkataba nadhani hapo GST. Hata ingekuwa mimi lazima nipambe taarifa yangu ili angalau niteiwe kuwa balozi au Mkiti mahali, chezea maprofesa wewe! Alipika taarifa ikapigika na akajitahidi kuisoma kwa hasira ili umma umuone shujaa
 
Bila hata kungoja tume huru, facts zinawaumbua. Inawezekanaje kontena 277 za makinikia zitoe tani 15 za dhahabu? Kama ndio, kwa nini mmiliki wake asafirishe tani hizo za dhahabu kwa barabara tena bila ulinzi wakati gold bars zinaenda kwa ndege tena baada ya kulipa bima kubwa? Kwa nini makinikia yenye dhahabu nyingi yanamwagwa nje mgodini wakati gold bars zinafungiwa gold room kwa ulinzi mkali? Kwa kweli Mruma alimdanganya JPM period.
Mkuu wanaoshabikia hawajui lolote ndiyo maana nawasikitikia, Vitabu vya dini vinasema , Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa . Mtu hataki hata kugoogle apate uelewa kuhusu hii sekta
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa ile report imelenga kuwaumiza na kuwachafua wapinzani wake ACCACIA?
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...

Na wewe umeanzisha uzi sio!!!
 
Mods mnaachaje thread za kijinga namna hii? Eti ripoti magumashi. Huu Sasa si upinzani tena, ni uadui dhidi ya Watanzania
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Wewe ni mnafiki Sana, na ni mamluki mkubwa kabisa wa wazungu.
Huko mwadui kuna tume yoyote iliundwa kiasi kwamba Prof Mruma akaibeba Mwadui? ulitaka afanyeje Prof? kwani alikuwa rais kipindi hicho? Hivi vijisenti mnavyohongwa na hayo majambazi zitawatokea puani.
 
Kubali ukatae watu tunaoijua sekta tunashangaa haya majibu wametoa wapi kuna mawili hapa either walikosea kufanya assay au walipata majibu sahihi wakapika ripoti
Kwenye utata kama huu inabidi methodology iliyotumika iangaliwe kwa undani-bahati mbaya haya nategemea yako kwenye report na viambatanishi vyake ambavyo sidhani kama vimekwisha tolewa kwa public. Ndo maana hata ACACIA hawawezi kukoment kwa undani zaidi ya kusema matokeo hayo hayaendani na historical data walio kuwa nayo. Of course wengi wetu pia hatujui methodology inayotumiwa na ACACIA na agents wa serikali kudetermine mna madini kiasi gani kwwenye hizo concentrates. Unless kama kuna lililo nipita. Kama pande zote mbili zinafanya kazi in good-faith watajadiliana na kukubaliana njia ya kucheck kuna madini kiasi gani kwenye makinikia hayo. Kama hawakubaliani sheria na mikataba vitaamua.
 
Bila hata kungoja tume huru, facts zinawaumbua. Inawezekanaje kontena 277 za makinikia zitoe tani 15 za dhahabu? Kama ndio, kwa nini mmiliki wake asafirishe tani hizo za dhahabu kwa barabara tena bila ulinzi wakati gold bars zinaenda kwa ndege tena baada ya kulipa bima kubwa? Kwa nini makinikia yenye dhahabu nyingi yanamwagwa nje mgodini wakati gold bars zinafungiwa gold room kwa ulinzi mkali? Kwa kweli Mruma alimdanganya JPM period.
Hebu tokeni kule, ndiyo alisafirisha as alisema decralations za uongo, naona leo mmeamua kaanzisha vi New IDs ili kupinga tume ya Mruma.
 
Back
Top Bottom