- Thread starter
- #21
Hao watu unaosema ni wa vitengo ndiyo hovyo kabisa wanampotosha mkuuKwa taarifa ni kila mgodi au Mali ya Umma kuna watu wa kutoka vitengo maalum kufatilia ya kila kinachoendelea usiku na mchana.
Ripoti hizo wanapeleka kwenye vitengo vyao na kumfikia Mkuu wa nchi kwa maamuzi ya mwisho ya kuchukua kila siku.