Kumbe potugal wana ndege kubwa saana aiseee

nanawoo

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
1,304
1,263
f9aec928d97059606eae6ea030f9a1f2.jpg
 
Hivi mnazungumzia hiyo inayopigwa picha au inayopiga,
Macho ya watazamaji yataishia kwenye hiyo ndege inayopandwa na abilia mmoja
 
Nimehesabia madirisha ya ndege ili nijue idadi ila huyo mtu wenu ananikinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom