kumbe polisi kwa amri ya ccm walipigia raia wengi risasi arusha!

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Jamani nisoma gazeti la mwanahalisi leo kuhusu mauaji ya arusha. inatisha!!!. kosovo ya ajabu. pamoja na kitendo hiki hamna hata kiongozi mmoja aliyewajibika?!!

kumbe polisi walipiga risasi raia wengi mitaani arusha. halafu jeshi la polisi wanadanganya eti walifyatua risasi kujihami baada wa raia kuvamia kituo. polisi imapata wapi ujasiri wakudanganya watanzania kupita mkanda wao uliochakachuliwa? je polisa wana haki kisheria kuua? Je wanahaki kisheria kupotosha ukweli?

jamani chadema tunaomba mkanda halisi wa tukio la arusha kwenye DVDs.....uwiiiiiiiiiii...inatisha tanzania
 
Usilie!
 
Maskini polisi wa Tanzania ,kupumbazwa kwa namna gani huku? Wakati umefika mtathmini hata mafunzo mnayopata? badala ya kuelimishwa inawezekana mnajazwa ujinga. Tafakarini
 
Tawi la ccm sio polisi, rekebisha
chagonja alisema wanafanya kulinda serikali sio kulinda raia, na kwakuwa waliua raia kwa madai ya kuilinda serikali basi wauaji wanapeta manake ilikuwa agizo la wakubwa-tutafika?
 
Maskini polisi wa Tanzania ,kupumbazwa kwa namna gani huku? Wakati umefika mtathmini hata mafunzo mnayopata? badala ya kuelimishwa inawezekana mnajazwa ujinga. Tafakarini

Polisi malimbukeni. Ni miongoni mwa wafanyakazi wa serikali ambao wengi wao wanasota sana na maisha magumu. Wanabakia kutegemea rushwa za sh 500, makazi duni n.k Lakini bado ndio wanaoongoza kwa kutolinda haki za raia wengine. shame on you askari.
Nadhani majeshi yetu yangeiga mfano toka kwa wenzao huko tunisia ambao wameungana na wananchi wenzao katika maandamano.
 
Attachments

  • tunisia.jpg
    tunisia.jpg
    57.6 KB · Views: 28
Back
Top Bottom