Kumbe pia kuna Akari koko

Kumbe pia kuna Akari koko

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
attachment.php
 

Attachments

  • 12243188_1482889405351279_7666103349738913793_n.jpg
    12243188_1482889405351279_7666103349738913793_n.jpg
    37.1 KB · Views: 2,050
Hao ndo askari wanaotakiwa sio wa kibongo hapo huyo jamaa angekuwa keshavunjwa vunjwa. Huyo atatumia nguvu endapo itashindikana kabisa kuwatuliza
 
Hao ndo askari wanaotakiwa sio wa kibongo hapo huyo jamaa angekuwa keshavunjwa vunjwa. Huyo atatumia nguvu endapo itashindikana kabisa kuwatuliza
Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.
 
Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.

Hahahaa... Kujifunza kutoka mataifa mengine kwa dunia hii ya sasa haiitaji kutembea wala kukimbia...twaweza jifunza hata viganjani mwetu...kama hivi sasa kwenye hii picha yakuwa askari sio tu kupiga raia ovyo kwa kutumia nguvu bali mpaka pale itaposhindikana ni tofauti na hapa kwetu ukweli ndo huo. Vipi wewe umetembea wapi na wapi? Umejifunza nini?
 
idf huyo nahisi vs mparestina.
hapo huyo jamaa siamini hata kama jiwe lake lilirushwa maana huwa kunamasnipers kwa ajili ya kuwacover askari wenzao.
 
Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.

Au ufwatiliagi vyombo vya habari vya kimataifa pindi vinaporusha taarifa za migomo mbalimbali nchi hizo ulizoenda kutembelea wewe.Na ukaona askari wao wanavyo handle situations hadi mwisho? Ukiwa unatembea tembea huko usi kariri jifunze tatizo mkipataga vinafasi hata vya kwenda kampala tu nishiidaaaaah kutwa nnapiga picha kupost inst na fb na vi tecno vyenu afu mnajifanya mnatembeaga mnajifunza.
 
Kutumia akili positively kunahitaji training,kuitumia tu hakuhitaji skill yoyote, hapo mmoja ana jiwe aliloliokota tu chini,mwingine ana bunduki na mabomu yaliyotengenezwa kitaalamu,na wataalamu,ili yatumike kitaalamu, mbwa akiamua kukungata wala hakuulizi kilichokupeleka kwao,haangalii umevaa buti au uko peku,ana silaha moja tu,na lazima aitumie hiyo tu, sababu haihitaji chochote kingine zaidi ya utashi wake mwenyewe,na ndivyo polisi wa tz wanavyifanya kazi, kuinua trigger na ku shoot hakuitaji akili yoyote ya zaidi,kurusha mabomu tu hakuitaji cheti,kupiga bibi kizee marungu hakuhitaji mazoezi,ndiyo maana polisi wetu wanaweza zaidi kutumia nguvu mingi panapohitaji akili!! Utatumiaje kitu ambacho huna?
 
Hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.

Sio dharau ila hio ni kweli kuwa askari wa Tz hawana utu kutokana hawana mafunzo ya utu pia hawafati sheria leo askari hajapewa papuchi na wife wake anakuja kuchapa walala Hoi. Au kama waziri mkuu aliemaliza muda wake Mizingo Pinda anasema wapige tu. Wala hajajiuzulu wala kuwajibika kisheria wakati nchi za wenzetu kishawajibishwa na angeenda ndani pia.
 
hao ndo askari wanaotakiwa sio wa kibongo hapo huyo jamaa angekuwa keshavunjwa vunjwa. Huyo atatumia nguvu endapo itashindikana kabisa kuwatuliza
sawa lakini kukimbia mh
 
hivi watanzania hii tabia ya kudharau vya kwenu itaisha lini, kiukweli huwa ninawashangaa. Sijui ni kutokutembea na kujifunza kutoka mataifa mengine.
funguka utujuze sie wa hapahapa
 
Lol umeshuka sana
kutumia akili positively kunahitaji training,kuitumia tu hakuhitaji skill yoyote, hapo mmoja ana jiwe aliloliokota tu chini,mwingine ana bunduki na mabomu yaliyotengenezwa kitaalamu,na wataalamu,ili yatumike kitaalamu, mbwa akiamua kukungata wala hakuulizi kilichokupeleka kwao,haangalii umevaa buti au uko peku,ana silaha moja tu,na lazima aitumie hiyo tu, sababu haihitaji chochote kingine zaidi ya utashi wake mwenyewe,na ndivyo polisi wa tz wanavyifanya kazi, kuinua trigger na ku shoot hakuitaji akili yoyote ya zaidi,kurusha mabomu tu hakuitaji cheti,kupiga bibi kizee marungu hakuhitaji mazoezi,ndiyo maana polisi wetu wanaweza zaidi kutumia nguvu mingi panapohitaji akili!! Utatumiaje kitu ambacho huna?
 
Askari wa kiisrael hawatakagi kero ya aina yeyote kama jamaa alifanikiwa kumpiga jiwe huyo afande basi sidhani kama aliondoka salama. Jamaa huwa wanaamini wao ni special kuliko mparestina.
 
Back
Top Bottom