asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Apr 13, 2014 #2 imagine hzi photo shop wakiweka ktk DP za whatsapp , facebook au viber mtu unaingia chwaki chwaki
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,048 Reaction score 77,410 Apr 13, 2014 #3 Siku ya sikukuu usitafute mchumba lakini kwenye mitandao
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,218 Apr 13, 2014 #4 watu wanapenda tumbo flat lakini mazoezi hawataki mtu anbugia misafari na michemsho,makuku ya kienyeji kila saa,lazima phootoshop ihusike
watu wanapenda tumbo flat lakini mazoezi hawataki mtu anbugia misafari na michemsho,makuku ya kienyeji kila saa,lazima phootoshop ihusike
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Apr 13, 2014 #5 Kennedy said: Siku ya sikukuu usitafute mchumba lakini kwenye mitandao Click to expand... Utauziwa mbuzi kwenye gunia
Kennedy said: Siku ya sikukuu usitafute mchumba lakini kwenye mitandao Click to expand... Utauziwa mbuzi kwenye gunia