Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 483
Heshima kwenu wana jf wote nilikuwa nasikiliza kipindi cha pilor talk kupitia Times radio kuna mtaalam mmoja wa masuala ya dini na historia anaitwa Rajabu Mlanzi amesema wanamuziki maarufu wa kundi la p-square kutoka Nigeria kuwa nao ni wa member wa kundi la waabudu shetani la freemason.Kumbe ndio maana kila nyimbo wakitoa inatamba kumbe nyuma yao wapo freemason.