Kumbe Nyalandu anamkubali Rais Magufuli

Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
5,437
3,457
Nimemsikiliza Nyalandu akiwajibu waandishi swali la yeye kuhusika na usafirishaji wa TWIGA wetu kwenda Uarabuni kipindi cha JK.

Akajibu swali kwa swali - akasema " Hivi unadhani ningekuwa kweli nilihusika kwa AWAMU hii ningekuwa barabarani?" Hivi makamanda wenzangu huku sio kukiri kuwa JPM ni Jiwe na Chuma cha ukweli mbele ya UFISADI?

Hii kauli haiconfirm alichoeleza Mh Silinde kuwa hata wapinzani wakikaa pembeni wenyewe kwa wenyewe huwa wanaappreciate saaana uongozi wa JPM?

Tumtonye Mwenyekiti afanye video conference na kamati kuu nini?
 
Nyalandu ni mpinzani au Ni mwanampotevu wa ccm? Usitake kuvisha upinzani watu ambao sio wapinzani.
yule mnyampaa ni mchumia tumbo tu kama wengine na kuja sisiem alipotea njia katika safari yake ya matumaini anachojali yeye na Mr Februari ni kuwa rais wa bongo tu si kingine wakiamini wao tu ndo wana akili kuliko wabongo wote!

ili mnyampaa asiendelee kusumbua watu kwenye media yafaa Takukuru wafukue mafaili yake ya kuuza twiga wetu ashtakiwe na kesi ianze kuunguruma haraka asisogelee uchaguzi awe anashinda mahakamani, yule ni mhujumu uchumi sababu twiga hai aliouza Dubai wanatupotezea mamilioni ya dolari za watalii! watalii wanaenda Dubai badala ya kuja bongo jitu zima halina akili ubongo umejaa maji eti limesoma marekani my foot!

Hivi Takukuru wana kazi gani? kwanini wanampa air time fisadi yule? hivi serikali inamuogopa? majizi kama yale hayafai kusimama hadharani na kuongea!
 
kwani maghufuli kafanya yote ya hovyo? Yako mambo mazuri, yako mambo ya hovyo sana
 
Content yako ya Thread imekaa Kipumbavu mno Ndugu na nisamehe kwa hilo. Naamini hata JPM unayempenda akiiona bado nae atakudharau tu.
jinsi ulivyomshukia umejitaja mwenyewe asili yako, mwenzio kauliza swali wewe unaanza kupayuka, namshauri asijibizane na wewe ...
 
Anamkubali sana. Mzee wa fyu fyu fyu...hoja hana anategemea Polisi na Jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…