GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,773
- 3,061
Faru tanzania nzima wanajulikana wako wangap mpaka movements zao kwa siku..serengeti hata hawaonekani kwanza manake wamefungiwa eneo maalumu kabisa chini ya uangalizi wa mradi ule wa Frankfurt Zoological Society, Mkomazi pia, mahali tu eameachiwa ni pale Ngorongoro Crater na wamewekewa mpaka Trasm kwenye pembe kwa lolote kule rangers wanapata alert...sasa vibali vinatolewaje hapo?? Jaman tunajua ametoka ccm mapovu ni mengi ila mpeni yale ya kwel basi......