Kumbe Nyalandu alitoa hadi vibali vya kuwinda Simba na Faru? Hii picha inamaanisha nini?

Faru tanzania nzima wanajulikana wako wangap mpaka movements zao kwa siku..serengeti hata hawaonekani kwanza manake wamefungiwa eneo maalumu kabisa chini ya uangalizi wa mradi ule wa Frankfurt Zoological Society, Mkomazi pia, mahali tu eameachiwa ni pale Ngorongoro Crater na wamewekewa mpaka Trasm kwenye pembe kwa lolote kule rangers wanapata alert...sasa vibali vinatolewaje hapo?? Jaman tunajua ametoka ccm mapovu ni mengi ila mpeni yale ya kwel basi......
 
Haya mnayaona baada ya Lazaro kutimka CCM?

Vipi Joka la Makengeza ni msafi au hadi atoke ndio uchafu wake utaonekana?
 
Duniani baaaaana! mbwembwe nyiiiiiingi lakini ukibanwa uharo siku 2 tu unakuwa mpoleeeeee kama umemwagiwa maji ya sumu vile
 
wewe mleta mada ni pumbafu la mapumbafu hii picha ya wawindaji wa siku nyingi kabla hata Nyalandu hajazaliwa
 
Hapo wamepigwa nusu kaputi,
hamna mzungu akaua wanyama hao kisha apige nao picha hivyo wakati akijua ni kujitia hatiani,

Nyalandu hachafukiki,mwacheni mlokole wa watu ,
 
Kuna watu wanastahili kunyongwa hadi kufa kabisa na miili yao kudumbukizwa ziwa Tanganyika
Ni kweli kabisa, tuliyofanyiwa na CCM ni mengi na yanakatisha tamaa sema tu watanzania sisi ni wavumilivu mno.
 
wanatibiwa na bunduki?
Hivi hujui kuwa ili mnyama atibiwe lazima apigwe sindano ya usingizi ?.Mnyama kama simba au faru, lazima apigwe sindano ya usingizi ambayo hurushwa kwa njia ya buduki. Hivyo usishangae, angalia Chanel ya wildlife, au discovery channel.
 
Hivi wewe mtoa mada:- Waziri ndiye anayetoa vibali? Mbona waziri wa sasa amefuta vibali ambavyo bila shaka havikutolewa na yeye?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom