mark_philipo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 202
- 33
huwa najiuliza sana,siku tumeamka asubuhi then baada ya kufungua mlango tu tunakuta hakuna nje.
Una maana gani ndugu?Yaani nje yaweza kupotea lakini wewe ukabaki na ndani yako?huwa najiuliza sana,siku tumeamka asubuhi then baada ya kufungua mlango wa nje tunakuta hakuna nje.
muulize mwalimu wako.
ambae .ni hamimu mulugo...