Kumbe..!! Nilikua sijaelewa miaka yote hii....

Kumbe..!! Nilikua sijaelewa miaka yote hii....

Siku zote nilikua nashangaa kwa nini huyu 'jamaa' alikua anafagilia sana 'sera' zile...
Mpaka akaweka kama mojawapo ya masharti ya nchi zetu kupata misaada...!!
Sasa ndio naelewa kwa nini....!!!
Duh....!!!

nw_052112_domcvr.jpg
Mbon ya kitambo hiyoo issues mkuu
Ni moja ya vitu jaluo alivyo feli completely
Kukisaliti hata biblia...hatari sana
 
Huyu jamaa alitaka watu wawe huru kufanya kila watakalo mpaka akapitiliza, ilibakia kidogo angepitisha na unga watu wajipimie mtaani
 
Mbon ya kitambo hiyoo issues mkuu
Ni moja ya vitu jaluo alivyo feli completely
Kukisaliti hata biblia...hatari sana

Nilikua nimezubaa...
Yaani hili bandiko la Newsweek ndio naliona mwaka huu...!!!!
 
Kwa kiongozi akishatoka madarakani waga yanasemwa mengi sana, raisi hawezi kupendwa na kila mtu ata siku moja, haya yalikuwa wapi kabla hajamaliza muda wake na uzuri wa nchi ya marekani wanachi wana uwezo wa kusema chochote kuhusu kiongozi wao ata kama ni jambo la kumdhalilisha

All in all hii sio habari ya kushabikia tu labda kisa humpendi obama au laa, issue kama hii nisawa na madawa inahitaji ushahidi nasio hisia tu, na kuhusu sera kwa nchi kama marekani haitungwi na raisi bali inatekelezwa na raisi, nisawa na jinsi ambavyo marekani inaziandama nchi za kiarabu ile sio sera ya Raisi bali ya nchi

Sipo hapa kupinga ila sitaki kuamini kwa reason nyepesi hivi
Angalia clip hiyo tumchukie inatusaidia nini sisi eeh?
Hii issues ipo tokea yuko Rais, nashangaa mmeijuwa leo [emoji85] [emoji86] [emoji87] [emoji93] [emoji23]
 
Watu wanazaniaga tuna zuka tuu ama tuna chuki, tuna evidence za kutosha ati..

Pia kuna clip nyingi sana nimeziona youtube zinasema kuwa Michelle Obama ni 'mwanaume'....!!
Hatari sana video zile....
 
Pia kuna clip nyingi sana nimeziona youtube zinasema kuwa Michelle Obama ni 'mwanaume'....!!
Hatari sana video zile....
Babu huyoo jaluo ni disaster is worse president in America history pamoja na dunia nzima,
We ebu Tazama jinsi gani alivyo izimisha ndoto yetu wa Afrika? [emoji56] [emoji112]
Colonel( kaddafi) [emoji23] [emoji23] [emoji23]

We
 
Yaani jambo pekee alilofanikiwa katika miaka nane ni kutetea, kuchochea, na kulazimishia ushoga dunia nzima...!!
 
Mmeisoma hiyo article ya Newsweek au mnarukia mambo kwa kuangalia picha tu?
 
Hizi ni propaganda za wapinzani wake, hasa Wazungu na Wayahudi. Hakuna ukweli wowote. Alipewa kashfa nyingi sana hata Michelle walidai kuwa ni basha, hata watoto wale walisema aliwaasili kutoka Moroko. Ni sura nyingine ya ubaguzi wa rangi.
 
Mmeisoma hiyo article ya Newsweek au mnarukia mambo kwa kuangalia picha tu?
Fungua clip hiyo
Hakuna mtu mwenye chuki nae umu
Sababu haitosaidi lolote ktk lifestyle yangu, ila tunajaribu ku standings na ukweli halisi wa mambo
 
Back
Top Bottom