Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Hizi ni propaganda za wapinzani wake, hasa Wazungu na Wayahudi. Hakuna ukweli wowote. Alipewa kashfa nyingi sana hata Michelle walidai kuwa ni basha, hata watoto wale walisema aliwaasili kutoka Moroko. Ni sura nyingine ya ubaguzi wa rangi.