Mmmh, hapa lazima ni tandale hapa. Nakumbuka nilishapita maeneo haya!
Na watu wamekaa kupiga stori bila wasiwasi wowote.
Awa nao wana gesi na wese kama wana Lindi na Mtwara.ila ufisadi wa wanasaiasa unawafanya wanaijeria kuishi kwa dhiki kiasi kuwa inafikaga nchi kuishiwa mafuta japo wanachimba hayo mafuta.Wanasiasa wao wana magari mpaka ya dola milion moja.
Na wakati mwingine sio stori tu hata msosi wanapiga hapohapo.
Hii picha inaonekana kama vile huyu mwananchi anazima moto wa bomba la mafuta vile; huku lazima ni OGONI nyumbani kwa marehemu Ken Serowiwa!
Mbona Watanzania mwapenda sana kuwatusi wengine? Mara hawa wezi, mara hawa maskini, mara hawa si wastaarabu, mara wana maringo......hizo ni dalili za low self esteem ama inferiority complex.Bora Bongo. Halafu ni wezi, wabishi, wajuaji.
Kwenye hoteli zao mpaka Hilton AC zimefungwa na minyororo ili zisiibiwe. Hapo unadhani watu na nchi yao wakoje/ikoje
Mbona Watanzania mwapenda sana kuwatusi wengine? Mara hawa wezi, mara hawa maskini, mara hawa si wastaarabu, mara wana maringo......hizo ni dalili za low self esteem ama inferiority complex.
Mkuu kituo kama hiki sio hatari, basically ni majengo mawili yenye stories mbili kushoto na kulia na kinjia cha kuunganisha na cover juu basi. Tungekuwa na mipango mizuri tungeweza kufanya hata zaidi, sema sasa hivi setback nyingi mno mara mikataba ya kifisadi n.k.
Tumsubiri Mwakenyembe ajenge Station kama hiii, "my foot"