Kumbe Ni Vocha tu Ndio Hazijapanda bei!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Ni Vocha tu Ndio Hazijapanda bei!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Mar 11, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Huku mtaani kwa kweli hali ni ngumu ajabu, kila kitu bei juu, vocha tu ndio bei ileile ya mwaka jana. Sijui wanatuvutia pumzi bado!!!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Unataka zipande?
  Na sisi kwa midomo!! Zikipanda tutachonga, zimebaki pale pale tunachonga na zikishuka pia tutachonga.
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Huwezi kusema hivyo kwani huwa kimsingi tunanunua muda wa hewani na siyo ile karatasi au kadi ya vocha
  so unaweza kununua vocha ya sh 1000 lakini call rate ikawa iko juu mfano kama vocha ya 500 uliweza kuögea dk 20 sasa utaongea dk 15 sawa mkuu.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kuchonga ndio kufanya nini!!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Nimekupata mkuu..
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kuongea ongea sana.
  Umeelewa?
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Alaaah!! kumbe ndio maana yake, nimeelewa!
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Wewe nawe bana zipande ili iweje sasa
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  karibu.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Katavi ukinunua vocha ya elfu tano hupati thamani ya elfu tano kuna charges na kodi zinakatwa kwahiyo utapata thamani ya 4600/- hivi ukichanganya na wizi wao inaweza kuwa hata chini ya hapo.Juzi simu yangu ya Zantel nimeongea dakika 1 na sekunde 20 wakanikata 1020 baada ya kulalamika wakarudisha 470/- sasa wangapi kati yetu huangalia salio kabla na baada ya kupiga ? ili ujue imeibiwa au la.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wizi mtupu.
  Kuna siku niliingia internet, nimefungua ile page ya kwanza ya yahoo wakanikata 800. Hawa watu aisee. Dah!
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha ubahili, yaani unalia kwa mia nane? khaa!
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  yaani hii nchi inaenda hovyo hovyo tu...kila mtu akijisikia kupandisha bei anafanya hivyo...hata wewe kama unakibanda chako wewe pandisha bei tu maisha yanaendelea....
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni danganya toto tu kwenye bei ya vocha, wanatuibia kwenye muda wa maongezi.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kwa usawa huu ni kubwa sana aisee!!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kweli.....
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  lazima nilie.
  Nirudishie basi hiyo mia nane.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni kubwa halafu bora ingekuwa makato halali.
  Wizi mtupu.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah!!
   
 20. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ndio maana mi huwa naweka vocha ya jiti tatu. Wakitaka kuniibia wanashindwa.
   
Loading...