Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 657
- 515
Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Magenius wengi huwa wako rough kimavazi saana. Huyu jamaa huwa ana trait za ugenious that's why sweta la hood hilo hill alilovaa Nigeria ndo kalivaa tena Kenya ambako kote hali zake za hewa ni joto..Jamaa yuko simple wenzangu na mie misuite
Matembele na kisamvu ndo mboga sasa za ugali mie hata ukinilisha kila siku nakula bila shidasio kwamba hatupendi ugali,raha ya ugali upate mboga nzuri tena zaidi ya mboga mbili.
Mwenzangu na mie kila siku unakula ugali na tembele au kisamvu unategemea utakuwa na mapenzi na ugali kweli?
Wewe unadhani huyo founder wa FB angeekewa ugali na dagaa au tembele unadhani angekula kwa kicheko???
Hakulalamika kwamba hauna chumvi ya kutosha na kuanza: "Pass me the salt vial please"?![]()
Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Kule wanaita sima![]()
Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Jamaa yuko simple wenzangu na mie misuite
Wangesema mshamba, ni kama ilivyo kwa mzungu kutembea kwa miguu waswahili watasema anafanya mazoezi,lakini akifanya mswahili mwenzao watasema bahili au hana nauli.ungesemaje ingekuwa mbongo ndiyo yuko simple na hao jamaa kwenye suti ni wazungu?
....just thinking.....
ungesemaje ingekuwa mbongo ndiyo yuko simple na hao jamaa kwenye suti ni wazungu?
....just thinking.....
![]()
Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg akipata Ugali samaki kwenye mkahawa mmoja jijini Nairobi leo. Wakati baadhi ya wabongo wakiuponda ugali, wapo wanaoupenda.
Good![]()