Kumbe ni kweli hii kampuni inachofanya

gmstarpro

Senior Member
Aug 7, 2015
101
74
Ni kweli kwamba ile kampuni ya magari na zawadi nyinine ndogo ndogo ya japani inayoitwa CAR FROM JAPAN inatoa zawadi kwa watu ambao watashiriki katika shindano linaloendeshwa na kampuni hiyo lengo la kampuni hii ni kupanua soko lake na hii ndio strategy walioitumia ya kuwazawadia washindi magari na ni rahisi sana kushiriki, bonyeza/BOFYA neno apply kwenye mabano (APPLY NOW) baada ya kujiunga utaona apply now kwenye hiyo web ya CAR FROM JAPAN alafu fuata maelezo mengine
JAPAN.png
alfu jaza form kama hii hapa chini baada ya hapo huata maelekezo mengine
japan form.jpeg
 
Simu yako yenyewe tecno y3 lazima huna gari na unTaka la kupewa
ndio ni kweli nataka gari ya kupewa. ila wewe mwenye simu nzuri nashangaa ume-reply kwenye post iloyo tumwa kwa Y3 . Embu nikumbushe gari lako ni la rangi gani vile
 
Simu yako yenyewe tecno y3 lazima huna gari na unTaka la kupewa
kujaribu ni kitu kizuri zaidi kuliko kukaa pembeni na kumdhihaki mtu anayejaribu. you must know that " trying is far better than not trying". ninakuambia hivyo kwani rashidi wa muungwana blog alijaribu na ameshinda gari. sasa kwa nini wengine wasijaribu. hata kama unalo gari unaweza ukashinda ukawa na gari lingine tofauti na ulilokuwa nalo mwanzo pia uzuri ni kwamba unajichagulia gari mwenyewe kulingana na bei iliyopangwa
 
Back
Top Bottom