Kumbe ni kweli CCM ni wepesi kama karatasi

Kumbe ni kweli CCM ni wepesi kama karatasi

Unaweza kuweka takwimu zinazoonyesha sehemu ambayo CHADEMA ilikuwa inaongoza hiyo mitaa na imechukuliwa na CCM? pia usisite kutuwekea mitaa ambayo ilikuwa inaongozwa na CCM na imechukuliwa na CHADEMA baada ya hapo tupige mahesabu tuone nani kashinda.

Kamuulze john komba huko kwao kupojje make kapigwa hadi home ground
 
wana ccm wote hawajui hesabu ,woa wanaangalia pesa iliyoko mkononi wakiiona bado ni nyingi wasijue kwamba mtaji umepungua,wanasubiri wabaki hadi imabaki robo mtaji ndo watakutupuka huko kuzimu.
 
CCM mwaka huu nawashauri mtoane kafara wenyewe kwa wenyewe,nadhani kuna mahali mlikosea,waganga wenu wa bwagamoyo achaneni nao,ona sasa wanamama nao wanazinduka...
 
Unatumia muda mwingi kubisha kuliko kujifunza. Posho za Lumumba zinajua kuharibu akili za watu aiseeh. Yaani wewe unakurupuka kujibu kitoto hoja ya kikubwa halafu wala huoni aibu.
Ova

Kikubwa cha hio philosophy ni kipi, Shida yenu mmezoea kumezaa tu, na mob psychology, mkue kiakili na mjiimarishe kwanza na mkajifunze lugha zakuongea na Watanzania.
 
Ccm wameshinda katika kushindwa,ni ajabu na kioja mwana ccm kushangilia....
 
10407142_809045465820195_2078707203779953505_n.jpg
 
Muambieni huyo, Mbeya tulikuwa na viti 7 mwaka 2009. Leo tumepata viti 72 hivi ana akili huyo, au bila kupost kitu hawapati posho?
 
Mbona mmeshindwa mpaka kwenye serikali za mitaa? Unamsikiliza Slaa na kuamini maneno yake?

Ccm ndio kapoteza usijitoe akili cdm kapoteza wapi??....kweli akili za msalani /chooni
 
Kama lazima watanzania tujifariji mno, pamoja ya mapingamizi yote CHADEMA na UKAWA wameimarika mno vijijini - hili ni jambo jema mno.

Ni kweli CCM ni karatasi - hawa sioni pona yao 2015 kwa kweli.
 
Vijana sijui wanaipendea nini Chadema

Wewe umri umeenda huwezi kujua...alafu ugumu wa maisha tunaopata sisi watz wa kawaida wewe fisadi huujui...ingawa tunapumua hewa ileile ila yako safi zaid!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom