Kumbe ni kweli CCM ni wepesi kama karatasi

Mbona mmeshindwa mpaka kwenye serikali za mitaa? Unamsikiliza Slaa na kuamini maneno yake?
 
Mbona mmeshindwa mpaka kwenye serikali za mitaa? Unamsikiliza Slaa na kuamini maneno yake?

Unaweza kuweka takwimu zinazoonyesha sehemu ambayo CHADEMA ilikuwa inaongoza hiyo mitaa na imechukuliwa na CCM? pia usisite kutuwekea mitaa ambayo ilikuwa inaongozwa na CCM na imechukuliwa na CHADEMA baada ya hapo tupige mahesabu tuone nani kashinda.
 
Mbona hio philosophy ya kitoto kabisa umekosa hojaaa?

Unatumia muda mwingi kubisha kuliko kujifunza. Posho za Lumumba zinajua kuharibu akili za watu aiseeh. Yaani wewe unakurupuka kujibu kitoto hoja ya kikubwa halafu wala huoni aibu.
Ova
 
Mhh angukia pua kivipi Ccm viti 58 vikiwemo 11 vya kupita bila kupingwa na Ukawa ni viti 53.

Hutaki kutumia akili yako kufikiri juu yakupungua kwa viti vya CCM huko? Unajifanya hujui kama kabla ya uchaguzi CCM walikuwa na viti vingi zaidi? Kupoteza viti ulivyokuwa navyo awali ni anguko.
Ova
 
Wenyewe Maintarahamwe wanalijua hilo ndio sababu inabidi watoe rushwa za aina mbali mbali kwa wapiga kura zikiwemo kofia, kanga, fulana, ubwabwa, pombe za kienyeji, magunia ya vyakula na hata pesa huku wakitumia vyombo vya dola kuwatisha na kuwanyanyasa wapiga kura na viongozi wa upinzani na ile Tume ya uchaguzi ya Maintaharamwe kuchakachua matokeo. Bila kufanya haya zamani hawa wahuni na wezi wangekuwa wamesahaulika katika anga za siasa nchini.
 
Tunataka watoa rushwa ( CCM) wakataze
Wanachi kupokea rushwa . Hii ina wezekana kweli ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhh angukia pua kivipi Ccm viti 58 vikiwemo 11 vya kupita bila kupingwa na Ukawa ni viti 53.

Mwanzo ccm walikua na viti vingapi na hao chadema walikua na viti vingapi then piga mahesabu nani kapoteza na nani kapata
 
Back
Top Bottom