KUMBE NI DR SHIKA

Kwamba mwenye Alladin lamp ni mbinafsi anapendelea kwao tu.
Duh, na vile baba wa watu alivyopaacha Butiama, lazima akunje ndita.

Kuna wakati John Malecela alikuwa waziri wa ujenzi. Nyerere akaambiwa serikali inataka kutengeneza barabara ya kwenda kwake Msasani. Akawakataza.

Baada ya muda kidogo, Nyerere akasafiri. Kurudi akakuta barabara ishatengenezwa.

Malecela alipata tabu sana kujieleza.

Mchonga alikuwa mbishi kuweka lami si Butiama Mara tu, mpaka Msasani.
 
Kuna nukuu moja alisema akiwa anatoka Msasani asubuhi kwenda Ikulu akiwaona omba omba alikuwa anaumia kama rais amefeli kuboresha maisha yao.
 
Wakuu hili sanamu mbona limefanana sana na dr shika au kuna uwezekano mchoraji alitumia kapicha ka dr shika pengine.. View attachment 1151162
Picha hii inaonesha jinsi ambavyo watu hawako makini katika majukumu yao, Kazi kama hizi kama zingetolewa kwa kufuata taratibu ninaimani hili lisingetokea. Nafikiri wasimamizi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye mambo kama haya lazma wajifunze ili kuzuia yasitokee tena, kwani naona kama yanajirudia na hakuna mtu anayejifunza kwa makosa ya awali
 
Msukuma akishika mpini na huku anaimba, mtakubali kila kitu hata km hamtaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…