Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua.
Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi! Pia Mhe. Lowasa alitangaza rasmi kuwa wafuasi wake wote wamuunge mkono Rais Magufuli.
Leo hayo yamethibitika kwani uchaguzi Serikali za Mitaa CCM inakimbiza vibaya sana. Pia Watanzania wengi wanasema kazi za Rais Magufuli zinajiuza hawaoni sababu ya kutoichagua CCM. Yale wapinzani waliyoyapigania yote Magufuli kayatekeleza.
Hapa kazi tu! Wakati CCM ikijiandaa wengine walikuwa busy tweeter!! Sasa wapigiwe kura huko tweeter.
Jioni njema.