Siku zote mtu anataka kitu ambacho hana, sasa hapo wanakula embe, ulitaka wakitolewa out waagize bakuli la embe pia?? Mtuache, coz kwenye maisha lazma uishi kutokana na mazngra n that's nature
Kilichonleta hapa hata sikijui!Life style.
Hata ww jichunguze ukiwa mwenyewe kuna vitu unafanya,ambavyo mbele za watu huwezi kufanya hivyo.