Bhampupile
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 810
- 636
Wakuu,, juzi kati hapa nikiwa ktk uelekeo wa kuwahi ofsn,, nikajikuta nasikiliza Radio Clouds kile kipindi chao maarufu cha mahojiano na mwalikwa wao.
Siku hiyo alialikwa jamaa akawa anaelezea Wizi unaofanyika pale Bandarini kwa kushirikiana watu wa TRA na Dalali.
Jamaa alielezea kwa kirefu mbinu zinazotumiwa na wafanyabiashara kuingiza mizigo yao nchini kwa kukwepa Kulipa kodi halali za Serikali.
Nilishangaa sn mbinu wanazotumia hawa watu,, eti mtu anaingiza makontena kumi ya mizigo,, anajifanya kwa makusudi kushindwa kuyagomboa pale bandarini,, baadaye eti yanapigwa mnada na mnunuzi huwa ni yule yule mwenye mzigo,,
Mwingine hata ukipanda vipi dau utajichosha tu,, huyu bwana tayari anakuwa kesha chonga mchongo na watu wa Bandari,, TRA na Darali.
Jamaa akakazia kwamba hata hizo Show room za magari zilizozagaa kote mtaani kamchezo kalikuwa ni hako hako,,Watu wanaagiza magari kibao lakini wanayatoa Bandarini kwa mtindo huo huo.
Hizi Deal kumbe zilikuwa zinapigwa mchana kweupe tena mbele ya Usalama wa taifa wakiwa pale pale,,.
Hii ndiyo Nchi yetu,, tulizoea kuishi na kufanya hivyo,, sasa tunalazimishwa kuacha kuishi kwa mazoea hayo tunatakiwa tuishi hivi,, je tutaweza?