Kumbe ndiyo maana Mkulu huwa anawapigiaga simu Clouds na kuwapongeza

hizo kazi zilitakiwa kufanywa na tbc....wajfunze kujiongeza na kufanya vpnd vnavyoisaidia serikali kwe sughuli zake za kiola cku na kuongezaushawish wa tanzania...sio kuweka vpnd vya harusi
TBC wana tatizo kubwa sana la kibajeti.Kwa hali walio nayo wale watu wanastahili sana kuweza kudunda.
Mkulu anategemewa wakati wowote kutia timu pale kujionea hali halisi,inategemewa akiona anaweza kutumia Rungu lake kumaliza matatizo yao
 
Kikawaida vitu vikuzwa kwa mnada, tra wanakata kodi yao kisha mwenye mali anapewa kinachobaki baada ya kutoa gharama stahiki. Sasa sielewe inakuwaje iwe njia rahisi kwa mwenye mzigo kuununua mzigo wake kwa njia ya mnada kwa maana atakuwa analipia ile ile kodi aliekwepa????
 
Wakuu,, juzi kati hapa nikiwa ktk uelekeo wa kuwahi ofsn,, nikajikuta nasikiliza Radio Clouds kile kipindi chao maarufu cha mahojiano na mwalikwa wao.

Siku hiyo alialikwa jamaa akawa anaelezea Wizi unaofanyika pale Bandarini kwa kushirikiana watu wa TRA na Dalali.

Jamaa alielezea kwa kirefu mbinu zinazotumiwa na wafanyabiashara kuingiza mizigo yao nchini kwa kukwepa Kulipa kodi halali za Serikali.
Nilishangaa sn mbinu wanazotumia hawa watu,, eti mtu anaingiza makontena kumi ya mizigo,, anajifanya kwa makusudi kushindwa kuyagomboa pale bandarini,, baadaye eti yanapigwa mnada na mnunuzi huwa ni yule yule mwenye mzigo,,

Mwingine hata ukipanda vipi dau utajichosha tu,, huyu bwana tayari anakuwa kesha chonga mchongo na watu wa Bandari,, TRA na Darali.

Jamaa akakazia kwamba hata hizo Show room za magari zilizozagaa kote mtaani kamchezo kalikuwa ni hako hako,,Watu wanaagiza magari kibao lakini wanayatoa Bandarini kwa mtindo huo huo.
Hizi Deal kumbe zilikuwa zinapigwa mchana kweupe tena mbele ya Usalama wa taifa wakiwa pale pale,,.

Hii ndiyo Nchi yetu,, tulizoea kuishi na kufanya hivyo,, sasa tunalazimishwa kuacha kuishi kwa mazoea hayo tunatakiwa tuishi hivi,, je tutaweza?
Mhhhhh,hii issue hatariiii sana ,
 
Hivi utaratibu wa kisheria ukoje wa kupiga mnada wa mali za watu walioshindwa kukomboa mali zao? Ni kwakipindi cha muda gani hutumika ili kupiga mali mnada? Mfanyabiashara anaeingiza kontena 10 atasubiri kwa muda gani ili ajeauziwe kimnada mzigo wake? Kwa njia hii kila mzigo ukipita humo huyu mfanyabiashara ataendeshaje biashara zake?
Kwa mujibu wa sheria mnada ni hadhara, kila mtu anajaribu kufika dau, je mwenye kontena 10 akisema ana milioni mia moja nami nikasema nina milioni mia mbili je watazikataaje hizo pesa zangu maana ni hadharani?
Ndo maana inatengenezwa dili ili MTU yeyote asifike,hata akifika wanakuwa ni wale wale, hesabu inatengenezwa ofsini
 
Tutaweza tuu si unaona hata mtaan hali ilivyo, mambo ya kutishana unanijua mimi nani sasa hivi hayapo. Watu wamenyoka
 
Aiseeeee..! Hii akili sikuwahi kuipata. Ila je, kwani mtu ukinunua mzigo kwa mnada ambao haujalipiwa kodi, si inabidi pesa ya kodi ikatwe kwenye hilo hilo dau analotoa mnunuzi? Sasa hiyo kodi unaikwepa vipi?
kuna baadhi ya costs unakwepa. nadhani storage na port charges. vile vile TRA lengo linakua ni ku cover taxes zaidi. It might be that way i am just thinking out loud.
 
Hicho Kipindi Sehemu Yake Ya Pili Dg Wa TRA Aliitwa Akakiri Kuwa Ndiyo Wanavyofanya Yaani Bhalaa
Hata Dg Wa Bandari Kasema Hivyo Kama Yule Jamaa Alivyoeleza Deals Zinavyopigwa
Kazi Ipo Kubwa Sana
Daah... Kinakuga lini na sangapi hicho kipindi?
 
Ndo maana inatengenezwa dili ili MTU yeyote asifike,hata akifika wanakuwa ni wale wale, hesabu inatengenezwa ofsini
Sana sana ukifika pale unaambiwa mzingo umesha chukuliwa

Nakumbuka ishu flani kwenye tv wana tangaza mnada wa ishu flani jamaa asubuh na mapema kwenda sehemu ya tukio haoni hata mtu kwenda ofisini anaambiwa mzingo ulisha chukuliwa mda mrefu wakati tangazo lilikuwa usiku saa mbili kwenda asubuh hamna kitu
 
Kisheria unatakiwa uondoe mzigo ndani ya siku 14,lakini kwa kuwa nia sio kupiga mnada ni kupata kodi,kamishna amepewa madaraka kukusubiria tu labda 2iku 60.sasa wapigaji walikuwa wanazungusha wee,halafu mzigo unapigwa mnada pamoja na mizigo iliokaa mwaka,kumbe mzigo una mwezi tu.
Kimewaka huko,inatakiwa schedule ya minada yote against BL ya kila kilichonadiwa kuangalia mzigo ulifika lini,kwa nini upigwe mnada ndani ya siku 30,wakati mingine inakaa hadi miezi 6
This is not true, vitu vya mnada huwa ni ghali!
 
Kuna comment imeeleza kuwa dalali na TRA wanakuwa wameshakula mchongo. Bei zitapandisha hadi mwenye mzigo ashinde lkn wakifika ofisin, mnunuzi(mwenye mzigo) anauziwa bei waliyokubaliana ktk mchongo, sio ile ya mnadani (kama nilimwelewa vizuri)
 
Back
Top Bottom