Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa.

India taifa masikini ona wanachokifanya.




Hawa nao umewafuatilia wanafanya nini? Muwe mnafanya utafiti kwanza

 
Chuki hupofusha akili na macho pia.....
Chuki hupunguza uwezo wa akili kufanya na kuchanganyua mambo ya msingi.....
Ni kweli, maana hata uwezo wa kufikiri au hata kufuatilia mambo kwa ukaribu zaidi unapungua kama sio kuisha kabisa
 
Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa.

India taifa masikini ona wanachokifanya.

Nani kakwambia kua India ni taifa masikini?!
Kwenye world's richest nations India inakamata namba 7
 
Aliyokwambiya india masikini ni nani?india serikali sio masikini.. Ila wanainchi ndio masikini..sababu ya idadi yao kubwa sana....india inajitengenezea kila kitu wenyewe... Kuanzia magari..tv..nguo..simu.. silaha..madawa..simu....meli.......kila kitu...ni wataalamu mno kwa technology... Tatizo lao ni wengi tu...ila wangekuwa ni wachache km tanzania basi wangekuwa mbali sana kimaendeleo....
 
Unaweza ukafanya mazungumzo ya kidiplomasia na jambazi aliyeivamia nyumba yako akiwa na lengo la kuchukua ulicho nacho au uhai wako.....!!?
si tungemfukuza mpaka nje ya mipaka yetu kisha tuweke ulinzi imara basi. sasa kazi gani kumfuata mpaka ndani kwake kisha kumfukuza nakuchukua jukumu la kulinda tena nchi yake na kuilisha.
 
Elimu pekee ndio mkombozi wetu
 
India wanajitahid.. HAL TEJAS fighter plane iko powa sana.. almost the copy of mirrage 2000
 
Ubunifu wa kutumia rasilimali tulizo nazo,---- kichwa crusher----, thinking kidogo. Nilipokuwa jeshini niliambiwa hapa tumia nguvu, akili acha geitini "kama kawaida ya Jeshi, Mitulinga mingi akili kidogo"! (Ben Kiko)
Hah hah haaa
 
DAAAH BASI WANGEANZA KUPIGANA RISASI UWANJANI ILI TUONE UKOMANDOO WAO SIO???!
 
Really? Mbona hatukuona?


Iikuwa mwaka juzi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kama sikosei.Waliruka toka umbali wa futi 50000 mkuu na ilikuwa LIVE na wakatua TAIFA
 
Back
Top Bottom