Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa.

India taifa masikini ona wanachokifanya.

Wewe ndiyo mpuuuzi India unasema ni nchi maskini???

Sijui kwako umaskini ni kukosa pesa mfukoni??
India ni matajiri ni wa elimu hasa kimatibabu, wanawataalam na technolojia ya vifaa tiba na wataalam ya hali ya juu sana.
Pia wanayo technolojia ya nuclear ni kati ya mataifa machache yenye hiyo technolojia.

India ni kati ya mataifa yenye technology ya habari na mawasiliano ya hali ya juu sana, kias cha wamarekani ni wateja wazuri wa apps za india kwenye makapuni makubwa ya IT na Electronics.

Usithubu kuilinganisha India na Kitaifa kitoto km Tanzania.
 
Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa.

India taifa masikini ona wanachokifanya.

Ninge kuwa nauwezo ninge kuchukua nakupeleka ukakaenao mwezi mmoja uone wanayo yafanya , baada ya hapo nakurejesha uje useme ulichokiona Na mwisho Naamuru Upotezwe kabisa Kwa kuwa uliyoyaona hukustaili Na kwa tabia yako utakuwa mpotoshoji. Mwisho nakushauri kuwa mzalendo Na Nchi yako. Hao waindi unao wesema wamejaa Congo miaka kibao Na makomandoo hao unao waonyesha Na VIFAA lakini hawakufanikiwa kuwatoa m23. Hapo makomandoo unao waita wapasua MATOFARI wakaenda ndani ya mwaka 1. Wakafanya uliyoyasikia / ona.Narudia kuwa mzalendo Na Nchi yako natumia mitandao kwa manufaa yako Na nchi yako.
 
Kama kuna kitu CDM wamefanikiwa, ni kuwajenga vijana kujidharau, kudharau chao na kuidharau na kuidunisha nchi yao.
CDM wamefanikiwa sana kuwaamsha vijana kujua adui yao ni nani . . , na sasa wanajua adui yao mkuu ni CCM . .
Nchi hii inaendeshwa kwa Sera zilizochoka za CCM miaka yote . . Wakulima wako hoi, kila mtu analia hali mbaya ya uchumi . . , na mwenyekiti wa chama chenu majambazi anajitapa kuwa anainyoosha nchi . . !?!

Tatizo ni kuwa hawa CCM hawataki kupisha wengine waendeshe nchi . . Wanahubiri demokrasia na huku ni wezi wa kura, wanatumia mifumo yote ya usalama wa nchi kuhujumu chaguzi zetu . .
Wamejipa mamlaka ya kimungu . . !
Na CCM inafanya unyangau wote huu kwa kutumia kodi zetu, sasa vijana wa nchi wataipendaje nchi yao namna hii . . ?
 
Kilichotugharimu sio vita kilichofanyika baada vita.....
Marekani kila kukicha wanapigana vita lakini uchumi wao unazidi kupaa....

Kuna nyakati vita ndio chaguo kuu ili kuweka mambo sawa.....

Mtu mwenye hekima hawezi kumlaumu mtu aliyefanya kosa bali anayerudia makosa yale yale.....hapo ndio inapokuja tafsiri ya neno PUMBAV.U

Naweza nikasema sisi Watanzania ni wapumbav.u kwa kuwa ni mpumbav.u pekee ndiye anayeweza kumpigia kura mtu au chama kile kilichomsababishia matatizo yale yale.....huku akitoa ahadi zile zile.....

CCM haina uhalali wa kutawala mbele ya macho ya mtu mwenye akili timamu na ubongo unaofanya kazi bara bara

Tunahitaji akili na mawazo mapya ili kujikwamua au kujinasua kwenye hili tope zito walilotuzamisha.......

Nazani wengi wa watanzania wanaenda uwezo wakufikiri ukiwa unashuka badala yakupanda ni tatizo lingine hilo
 
Katika ulimwengu huu tunaoishi...matendo ya wengine dhidi yako vinatokana na wewe unavyoonekana au kujieleza mbele yao....

Tanzania bora tunayoitaka haiwezi kupatikana kwa sisi kulalamika na kuidharau nchi yako kwa kiwango hiki kwa kuwa tu una chuki na mtawala bali kwa kuchukua hatua dhidi ya jali hiyo usiyoipenda kwenye taifa lako.....na sio kuisema vibaya nchi yako ambayo wewe unaishi....

Jukumu la kuileta TANZANIA tunayoitaka ni la kila mmoja wetu....kila mmoja kwa nafasi yake achukue hatua anazoona zinafaa katika kuileta Tanzania mpya....lakini kuitukana na kuidharau kwa kila aiana ya lugha chafu haiwezi kutuletea Tanzania tunayoitaka

Lazima ifikie kipindi tuwajibike kwa hali zetu na sio kulalamika tu, kama ni utawala mbovu basi tufikirie jinsi ya kuuondoa madarakani kama ni changamoto nyingine za kitaifa pia tufikirie jinsi ya kupambana nazo.....Na sio kulalamika tu...

35086ea0210a0a11db138fb45546eba5.jpg
dfabb186fb8cb09188ec320d6d9533a7.jpg
43c629c24c61106356e57bc21f8654ef.jpg
f9b9af3ec3500ff336db32e0c1018f58.jpg
649755ab1b08dce1df082961a447d797.jpg
a314c2ff876e6cd13235a1a7c4b9a269.jpg
Naomba link ya hizo vids
 
Samahani ndugu yangu natumia simu sijui jinsi ya kutuma links.....

Nadhani ukiingia YouTube unaweza ukaziona
Jus hold kwenye link then option ya kucopy itatokea jus njooo u-paste hapa.

Ntajua la kufanya tu.
 
Kichwa chako kimejaa kamasi pumbavu wewe.sasa unataka hayo mabomu yaliyobebwa na ndege ya kijeshi yapigwe uwanja wa taifa?au madaktari na wakemia wa jeshi wahamishie mahabara uwanja wa taifa? kuna watu wengine sijui mnakula maharage ya wapi ?.taarifa fupi tu hivyo vifaa vya jeshi la india 90% vimenunuliwa kama tunavyonunua sisi na hayo maonesho yalifanywa kumtisha Pakistan. kama sisi tulivyoonesha vifaru mizinga na ndege za kijeshi kumtisha Malawi na Rwanda.Kutisha na kujigamaba kijeshi pia ni mbinu za kivita walichofanya komando pale taifa kuwa hata bila silaha komando anayo madhara makubwa na kuweza kuiteka ngome ngumu ikiwa na askari makini na silaha hatari.
 
Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)

Sisi tuko na nguvu nyingi kuliko akili so acha turingie nguvu zetu. Ushaona mwafrika akijili nganisha na mzungu au muhindi anasemaje? Huwa anasema waafrika tuko na nguvu nyingi kuliko mzungu na tunaweza fanya mapenzi kwa muda mrefu hiyo ndio sifa pekee mwafrika yuko proud nayo
 
Kama magari yao MAHIDRA yanaharibika na kuchoka haraka kiasi hicho huku yakitumia kiasi kikubwa cha mafuta , unafikiri hizo ndege zitakuwa bora???
 
Mkuu India sio taufa maskini. Ila wananchi wake wengi ndio maskini. Na pia kuna matajiri wengi sana india
 
Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)
Mkuu uminichekesha sana(nguvu pipa akili kijiko)
 
Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)
[emoji23] nguvu pipa akili kijiko
 
Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)
[emoji23] nguvu pipa akili kijiko
 
Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)
[emoji23] nguvu pipa akili kijiko
 
Katika ulimwengu huu tunaoishi...matendo ya wengine dhidi yako vinatokana na wewe unavyoonekana au kujieleza mbele yao....

Tanzania bora tunayoitaka haiwezi kupatikana kwa sisi kulalamika na kuidharau nchi yako kwa kiwango hiki kwa kuwa tu una chuki na mtawala bali kwa kuchukua hatua dhidi ya jali hiyo usiyoipenda kwenye taifa lako.....na sio kuisema vibaya nchi yako ambayo wewe unaishi....

Jukumu la kuileta TANZANIA tunayoitaka ni la kila mmoja wetu....kila mmoja kwa nafasi yake achukue hatua anazoona zinafaa katika kuileta Tanzania mpya....lakini kuitukana na kuidharau kwa kila aiana ya lugha chafu haiwezi kutuletea Tanzania tunayoitaka

Lazima ifikie kipindi tuwajibike kwa hali zetu na sio kulalamika tu, kama ni utawala mbovu basi tufikirie jinsi ya kuuondoa madarakani kama ni changamoto nyingine za kitaifa pia tufikirie jinsi ya kupambana nazo.....Na sio kulalamika tu...

35086ea0210a0a11db138fb45546eba5.jpg
dfabb186fb8cb09188ec320d6d9533a7.jpg
43c629c24c61106356e57bc21f8654ef.jpg
f9b9af3ec3500ff336db32e0c1018f58.jpg
649755ab1b08dce1df082961a447d797.jpg
a314c2ff876e6cd13235a1a7c4b9a269.jpg

Ni vyema kabla ya kuropoka basi mkawa pia mna ushahidi kama huu kuliko kujiaibisha halafu mkazidi kudharaulika tu. Akhsante Mkuu wa hizi picha na hakuna asiyejua kuwa hao wote tunaowaona katika hizo Picha wanatoka katika nchi Tajiri na Kubwa sana duniani lakini na Wao kumbe Makomando wao wanafanya kama tu kile wanachofanya hawa wakwetu wa 92KJ. Mkuu umewaumbua Watu vizuri sana hongera zako.

Cc: Bujibuji
 
Back
Top Bottom