koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,644
- 1,748
Nape ni kiboko ya mamvi.
Sio kiboko tu na tiba pia ya mamvi
Nape ni kiboko ya mamvi.
Sasa wewe umekuja na mchango wa Ajabu kabisa.... Toka lini Serikali ikakosa kumsafirisha Afisa wake kwenda kwenye eneo lake la kazi? na toka lini nchi imeenda miaka yote Madaktari wameshindwa fanya kazi kisa nyumba za serikali hamna? kasome vizuri salary slip ndio utaelewa nini kimeandikwa humo.... na majibu yote utapata hapa hamna lolote zaidi kinachotetewa na nape ni posho za vikao tu... Nenda kwenye report ya ma auditor kama utakuta mfanyakazi aliyekosa kwenda sehemu ya kazi aliyopangiwa au kutumwa hesabu zipo perfect na hamna aliyerudisha change..... Mimi nipo makini na ninachokiandika sina blah blah na usijedhania sielewi mada nipo njema na najua kinachokusudiwa ni Posho tu na usijesita kunifahamisha jibu halisi ukishapata...[/ niongezee kidogo huenda ukanielewa, unafahamu hawa jamaa wanaitwa agricultural field officers? hawa ni wataalamu wa kilimo ambao ndio wapo karibu kabisa na mkulima, sasa ikiwa utamtaka amtembelee mkulima shambani kumpa ushauri na huku unajua anahudumia kata nzima na wala hukumpa usafiri, unategemea awafikieje wakulima?? utawezaje kumuwajibisha ikiwa ata feli kuwafikia wakulima wake kwa wakati? au unataka kusema agricultural field officers wote wana usafiri??? labda huenda kidogo ukapata picha kinachozungumziwa na Nape, usiniambie wana usafiri hali yakuwa tunawaona wanavyoteseka kutembelea ma baiskeli tena umbali mrefu.... kwa mazingira haya kilimo hakiwezi kwenda juu kama tunavyodhani..
Ndio nilikuwa nawauliza Idara gani ya serikali isiyo na Huduma kama za usafiri n.k bora wewe umeongea kidogo so unamaanisha upande wa kilimo... so ila huwezi singizia kuwa hawapati kitu kwani kila mfanyakazi wa serikali akitumia masurufu yake binafsi lazima ayadai na most of the time wanachukua kwanza wanayatumia kisha wanatafuta usafiri kama huo wa bike wasitake kusingizia serikali wameitafuna vya kutosha... na hali ipo wazi na kama kuna uzuiaji ndio waweke wazi nani alikuwa akikwamisha.... Tukija upande wa waalimu wakuu wao na watu wa mahesabu ndio walikuwa wanawachezea same kama wale wa body ya mikopo... acheni kulalamika fanyeni kazi... hata sisi tunazitaka kazi hizo tuneemeke... Ingekuwa hali mbaya wengi wangekuwa washaacha kitambo
Sasa wewe umekuja na mchango wa Ajabu kabisa.... Toka lini Serikali ikakosa kumsafirisha Afisa wake kwenda kwenye eneo lake la kazi? na toka lini nchi imeenda miaka yote Madaktari wameshindwa fanya kazi kisa nyumba za serikali hamna? kasome vizuri salary slip ndio utaelewa nini kimeandikwa humo.... na majibu yote utapata hapa hamna lolote zaidi kinachotetewa na nape ni posho za vikao tu... Nenda kwenye report ya ma auditor kama utakuta mfanyakazi aliyekosa kwenda sehemu ya kazi aliyopangiwa au kutumwa hesabu zipo perfect na hamna aliyerudisha change..... Mimi nipo makini na ninachokiandika sina blah blah na usijedhania sielewi mada nipo njema na najua kinachokusudiwa ni Posho tu na usijesita kunifahamisha jibu halisi ukishapata...
Unamaanisha kwenye salary slip ya mwalimu kuna posho ya usafiri au nauli,ifanyishe kichwa chako akili yake sio kujisifu na kujichoresha!!!
Nimemfurahia sana jana aliposema kuwa watumishi wa umma lazima tuwawezeshe ndo tuwadai utendaji kazi sahihi. Utakuta watumishi wengi hawana vitendea kazi lakini tinasema hapa ni kazi tu haiwezekani.
Big up Nape, N.
Unamaanisha kwenye salary slip ya mwalimu kuna posho ya usafiri au nauli,ifanyishe kichwa chako akili yake sio kujisifu na kujichoresha!!!
Unakurupuka niliyemuuliza acha kuhara