Kumbe Nape ni mstaarabu

Kumbe Nape ni mstaarabu

Hiyo inaitwa high levels of professionalism. ......Nape wa CCM ni tofauti na Nape waziri.
 
Umewah kufanya kaz serkarin

Serikali ni Kubwa na ina kila idara na mashirika yake sasa wewe utakuwa sijui unamaanisha yapi? Dawasco,NSSF,Sumatra,Wizara ya Afya, Takukuru,Police,Usalama,Zimamo to Bank kuu, au wapi maana wote hao wapo Njema tu au unamaanisha wale walioanzia level ya Chini? kama hujiendelezi unabakia hapo hapo... Like Madereva n.k lakini sio wale wa Ikulu
 
Last edited by a moderator:
Nape ni kiongozi makini sana,wengi wameanza kumuelewa kuwa ni mtu makini na mchapa kazi,anaendana na falsafa ya hapa kazi tu
 
Serikali ni Kubwa na ina kila idara na mashirika yake sasa wewe utakuwa sijui unamaanisha yapi? Dawasco,NSSF,Sumatra,Wizara ya Afya, Takukuru,Police,Usalama,Zimamo to Bank kuu, au wapi maana wote hao wapo Njema tu au unamaanisha wale walioanzia level ya Chini? kama hujiendelezi unabakia hapo hapo... Like Madereva n.k lakini sio wale wa Ikulu

Hujajibu swal
Ngoja nikusaidie serikalini kungekuwa na kila kitu kusingekuwa na mgomo ya walim madaktar nk cku nyingne b4 hujakoment pma inteintesity ya unachoandika kama iq yako ipo chin bas muulze jiran yako ili usijidharrshe unafikir wote tunafanya kaz tra hata tukijiendeleza ni ujinga kudai haki b4 hujatekeleza wajibu kabla hujamkamua ng'ombe mpe kwanza pumba watu hatuna vfaa nyumba mbovu za kuish posho hatulipw alafu mtu anasema hapa kaz tu unafikir iz it posibo
 
Last edited by a moderator:
Hapendi mafisaaaadi! Halafu anamsimamo thabiti hayumbishwi kabisa .Atawanyoosha TFF,BMT,RT,KOSOTA,DOREFA,etc
Kazi njema kwake. Kwa MATUNDA Tutayapima maneno na matendo yake!
 
Hujajibu swal
Ngoja nikusaidie serikalini kungekuwa na kila kitu kusingekuwa na mgomo ya walim madaktar nk cku nyingne b4 hujakoment pma inteintesity ya unachoandika kama iq yako ipo chin bas muulze jiran yako ili usijidharrshe unafikir wote tunafanya kaz tra hata tukijiendeleza ni ujinga kudai haki b4 hujatekeleza wajibu kabla hujamkamua ng'ombe mpe kwanza pumba watu hatuna vfaa nyumba mbovu za kuish posho hatulipw alafu mtu anasema hapa kaz tu unafikir iz it posibo
Mchango wako ni wa Kizembe na Mifano yako pia vile vile nadhani tukiweka wapima IQ kati yangu na yako ndio majibu yatapatikana... Jibu kivipi sijajibu nimeuliza Serikali kitengo gani ambacho mtu analalamikia nadhani walalamishi ni wale level ya chini sana ambapo hadi upande ni lazima ujiendeleze kimasomo acheni upuuzi Wafanyakazi wa Serikali jibuni kipi mnakosa na sio kutoa Mapovu tu Anachosema Nape hakuna cha zaidi ni Posho tu ndio ilikuwa inawabeba na ndio iliyosababisha uzembe kila idara maana vikao vikawa kama ndio sehemu muhimu ya kazi huku wananchi wakiumia tu na upuuzi huo Magufuli kaufuta someni namba sana... Mkimaliza kutoa Mapovu nchi ishasonga sana mbele Nape anaakili zake sometimes maana wazembe watajulikania hapo...
 
Akawabane Clouds walipie kodi mapato yote ya Fiesta walizofanya.
 
Mchango wako ni wa Kizembe na Mifano yako pia vile vile nadhani tukiweka wapima IQ kati yangu na yako ndio majibu yatapatikana... Jibu kivipi sijajibu nimeuliza Serikali kitengo gani ambacho mtu analalamikia nadhani walalamishi ni wale level ya chini sana ambapo hadi upande ni lazima ujiendeleze kimasomo acheni upuuzi Wafanyakazi wa Serikali jibuni kipi mnakosa na sio kutoa Mapovu tu Anachosema Nape hakuna cha zaidi ni Posho tu ndio ilikuwa inawabeba na ndio iliyosababisha uzembe kila idara maana vikao vikawa kama ndio sehemu muhimu ya kazi huku wananchi wakiumia tu na upuuzi huo Magufuli kaufuta someni namba sana... Mkimaliza kutoa Mapovu nchi ishasonga sana mbele Nape anaakili zake sometimes maana wazembe watajulikania halo...
Umeona Posho tu ndio tatizo LA watukishi Wa umma!!!???
 
Nape na makonda walithubutu kumwita lowassa fisadi uso kwa uso

Sasa Lowassa anaingiliaje hapo kwenye hili mkuu? hamkui? Unawashwa na nini kama hilo Jina ukiliacha angalau Siku moja? Kwa hoja hii swala ni nape Lowassa wa nini?
 
Mchango wako ni wa Kizembe na Mifano yako pia vile vile nadhani tukiweka wapima IQ kati yangu na yako ndio majibu yatapatikana... Jibu kivipi sijajibu nimeuliza Serikali kitengo gani ambacho mtu analalamikia nadhani walalamishi ni wale level ya chini sana ambapo hadi upande ni lazima ujiendeleze kimasomo acheni upuuzi Wafanyakazi wa Serikali jibuni kipi mnakosa na sio kutoa Mapovu tu Anachosema Nape hakuna cha zaidi ni Posho tu ndio ilikuwa inawabeba na ndio iliyosababisha uzembe kila idara maana vikao vikawa kama ndio sehemu muhimu ya kazi huku wananchi wakiumia tu na upuuzi huo Magufuli kaufuta someni namba sana... Mkimaliza kutoa Mapovu nchi ishasonga sana mbele Nape anaakili zake sometimes maana wazembe watajulikania hapo...

mkuu pengine hujaelewa kinachozungumziwa kwenye Uzi huu, soma tena kuanzia mwanzo na upitie comments zote zilizopita huenda ukaelewa somo, wala huna sababu ya ku panic,
penginebnikupe kamfano kadogo tu Ka kile unachobishia .. utwezaje kumbana afisa ugani kua hawafikii wakulima kwa wakati huku anahudumia karibia kata nzima na hukumuwezesha japo kwa pikipiki? hata usimpe mafuta, ...utambanaje dokta anayeishi mbali na kituo cha afya huko kijijini huku hujamjengea nyumba? aishi kwenye nyumba za makuti na udongo?? elewa somo kwanza ndio uje uchangie... na utambue sio kila Uzi ni lazima uchangie....
 
Sasa wewe umekuja na mchango wa Ajabu kabisa.... Toka lini Serikali ikakosa kumsafirisha Afisa wake kwenda kwenye eneo lake la kazi? na toka lini nchi imeenda miaka yote Madaktari wameshindwa fanya kazi kisa nyumba za serikali hamna? kasome vizuri salary slip ndio utaelewa nini kimeandikwa humo.... na majibu yote utapata hapa hamna lolote zaidi kinachotetewa na nape ni posho za vikao tu... Nenda kwenye report ya ma auditor kama utakuta mfanyakazi aliyekosa kwenda sehemu ya kazi aliyopangiwa au kutumwa hesabu zipo perfect na hamna aliyerudisha change..... Mimi nipo makini na ninachokiandika sina blah blah na usijedhania sielewi mada nipo njema na najua kinachokusudiwa ni Posho tu na usijesita kunifahamisha jibu halisi ukishapata...
 
Umeona Posho tu ndio tatizo LA watukishi Wa umma!!!???

Ndio lililowanyong'onyesha sana... na asikuambie mtu Posho tamu kuliko maelezo.... kazi ndogo pesa nzuri sasa imetolewa wote minyong'onyo... fanya hata utafiti na safari vile vile
 
Sasa wewe umekuja na mchango wa Ajabu kabisa.... Toka lini Serikali ikakosa kumsafirisha Afisa wake kwenda kwenye eneo lake la kazi? na toka lini nchi imeenda miaka yote Madaktari wameshindwa fanya kazi kisa nyumba za serikali hamna? kasome vizuri salary slip ndio utaelewa nini kimeandikwa humo.... na majibu yote utapata hapa hamna lolote zaidi kinachotetewa na nape ni posho za vikao tu... Nenda kwenye report ya ma auditor kama utakuta mfanyakazi aliyekosa kwenda sehemu ya kazi aliyopangiwa au kutumwa hesabu zipo perfect na hamna aliyerudisha change..... Mimi nipo makini na ninachokiandika sina blah blah na usijedhania sielewi mada nipo njema na najua kinachokusudiwa ni Posho tu na usijesita kunifahamisha jibu halisi ukishapata...[/ niongezee kidogo huenda ukanielewa, unafahamu hawa jamaa wanaitwa agricultural field officers? hawa ni wataalamu wa kilimo ambao ndio wapo karibu kabisa na mkulima, sasa ikiwa utamtaka amtembelee mkulima shambani kumpa ushauri na huku unajua anahudumia kata nzima na wala hukumpa usafiri, unategemea awafikieje wakulima?? utawezaje kumuwajibisha ikiwa ata feli kuwafikia wakulima wake kwa wakati? au unataka kusema agricultural field officers wote wana usafiri??? labda huenda kidogo ukapata picha kinachozungumziwa na Nape, usiniambie wana usafiri hali yakuwa tunawaona wanavyoteseka kutembelea ma baiskeli tena umbali mrefu.... kwa mazingira haya kilimo hakiwezi kwenda juu kama tunavyodhani..
 
Back
Top Bottom