Kumbe naibiwa

Kumbe naibiwa

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Text hii Demu wangu kakosea kanitumia! "sorry mi nilitaka tukae tu sehemu for story mambo fulani siko fit leo pole, nilikuwa kwa watu thus why sikutaka kukwambia kwa simu"Nashindwa kuelewa maana mlengwa sio mimi na sikuwa nachat naye.

Daaah! Wanawake nyie;-(;
 
Nimemrudiisha Text kwake kisha nikampgia nika muuliza then NIKACHEKA sanaaaaa!

Anadai alikuwa ana m-Text shosty wake...

Haaaaaaaa sasa shosty na kutokuwa fresh kufanya mambo fulani inahuuu... pole lakini
 
Pole aiseee, ndo wanawake hao utafikiri wamemezeshwa mbegu za kiume maana hawawezi kutulia na mtu mmoja
 
Kawaida...

Kizuri kula na wenzio.....

Na wewe tafuta mnyonge ummegee
 
Duh hiyo balaa mkubwa, pole hayo mambo yapo tu. Ndo tatizo letu kuowa au kuwa na mahusiano na mtu aliyeachwa. Lazima tu inatokea. Mengine huwa tunaweka tu vifuani but ki ukweli wachache sana wanafurahia tabia za wenzi wao. Si unajua mapenzi ulaya, Africa biashara?
 
Mbona kawaida sana tu.Siku hizi ni kama fasheni .Mshukuru mungu kakosea msg umejua.Halafu wala usimpige chini maana hata ukitafuta mwingine atakuwa kicheche zaidi ya huyo.
 
daaaah! hii kitu ndo inanipa shida sana juu ya binadam nani wa kumwamin!
cjui dunia ya sasa imekuaje na ya kesho itakuwaje na maisha ndo yanazid tutengenezea mapenz ya mbali!!
MUNGU TUNAHITAJI REHEMA ZAKO
 
Kila siku kuchapiwa sijui ambao hatujaanza malovey mnatuambie tuwe na michepuo ehhhh au tuanze jifunza huko nje
 
Back
Top Bottom