Kumbe naibiwa

Kumbe naibiwa

duh kama naibiwa mm vile....usimpige chini ila jijue kuwa haukopeke yako
 
Wadada wapo vizuri sana kwa kucheat miaka hii. Unaongea na mke wa mtu, anaonekana kuwa tayari mda wowote...nashindwa kuelewa kwa nini aliolewa basi, si angekaa single ili akitembeze kwa yeyote na awe huru zaidi...!

Kwa sasa naamini kabisa asilimia kubwa ya wadada waliopo katika mahusiano sio waaminifu.
 
Ishi maisha ambayo ukijua chochote chaweza tokea
 
Text hii Demu wangu kakosea kanitumia!

"sorry mi nilitaka tukae tu sehemu for story Mambo fulan siko fit leo pole, nilikuwa kwa watu thus sikutaka kukwambia kwa cm"

nashindwa kuelewa maana Mlengwa co mm! Na ckuwa nachat ne....

Daaah! Wanawake nyie;-(;-(

Ingawa kweli sms inatia mashaka lakini mkuu kubali kuwa haipo conclusive.

Suppose mpenzi wako na rafiki yake wa kike wana mazoea ya kununuliana bia na kiti moto.

Then demu wako anamtext rafiki yake .."vipi shosti, umeshatoka kazini, mi nshatoka na sina ishu hapa home, tutoke kidogo?"

rafiki anajibu "poa wangu, mi nshatoka...vipi wataka twende kwa Materu?, upo njema?...maana leo ipo ya kukausha wangu, mi wallet tupu, na nilipokupigia mbona hukueleweka?"

Mpenzio anajibu "sorry mi nilitaka tukae tu sehemu for story, mambo flani siko fit leo pole, nilikuwa kwa watu thus sikutaka kukwambia kwa cm"

hapo tatizo lipo wapi? dont jump to conclusion man
 
mkuu ndoa yako inaweza kudumu sana..... Kwasababu unajaribu kuupindua ukweli uwe uwongo
 
Mbona kawaida sana tu.Siku hizi ni kama fasheni .Mshukuru mungu kakosea msg umejua.Halafu wala usimpige chini maana hata ukitafuta mwingine atakuwa kicheche zaidi ya huyo.

Mmmmmmhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom