FUKO LA DHIKI
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 463
- 146
Duu! Ama kweli kuchapiwa ni siri ya ndani! Pole mdau
sikubaliani na wewe..!! wanawake wa sahizi hata ashibe bado atapigwa tu nje..!!
Pole man wangu soma hapo juu nAPASUKA JAMANI.Nimeumizwa namimi leo na niko hapa na demu anadai ana mshikaji wake na niko nae gest na simfungulii mpaka ningate
Isomwe na Heaven on Earth
Tulizana kama nyuki Wa mashineni na usitie shaka ukatawaliwa na mashaka kumbuka njia kuu yako broo ni mchepuko Wa mwenzako.!!! tafiti ujuwe kama huna future NAE vema ukatemana NAE kuepuka maradhi...Inawezakan Wewe Ndie Unammegea Mwanaume Mwenzio.
Kawaida...
Kizuri kula na wenzio.....
Na wewe tafuta mnyonge ummegee