Kumbe naibiwa

Kumbe naibiwa

Wanaume siku hizi wamesanda sana ni mmoja kwa bahati anayeweza kumkamua demu mpaka ajisikie kashiba; siunajua mtu akishashiba hata lije pilau gani kula hawezi tena

sikubaliani na wewe..!! wanawake wa sahizi hata ashibe bado atapigwa tu nje..!!
 
hahaha kweli kabisa mkuu. hata fisi huona mkono unatingishwa anaamini utaanguka

lakn umewahi kujiuliza sababu zilizompelekea fisi kufuata mkono akidhan utadondoka??
Ktk maisha ya mwanzo ya fisi kuna vitu aliviona na akafanikiwa na ndio maana anaamin mkono utadondoka
 
Hakuna mwenye hati miliki ya mtu/binadamu. Vinamilikiwa viwanja, magari, nyumba n.k
Pole sana.
 
lakn umewahi kujiuliza sababu zilizompelekea fisi kufuata mkono akidhan utadondoka??
Ktk maisha ya mwanzo ya fisi kuna vitu aliviona na akafanikiwa na ndio maana anaamin mkono utadondoka

hata kenge alitishiwa sana hatari bila ya hatari kuwepo, ndio maana akaamua lazima aone damu ndio ajue kuna hatari.
hivyo basi yote ni mtazamo na inategemea umekutwa na nini maisha ya mwanzo.
 
daaaah! hii kitu ndo inanipa shida sana juu ya binadam nani wa kumwamin!
cjui dunia ya sasa imekuaje na ya kesho itakuwaje na maisha ndo yanazid tutengenezea mapenz ya mbali!!
MUNGU TUNAHITAJI REHEMA ZAKO

Amini mungu wa mbinguni kasikia ombi lako
 
Mkuu usijeukamuacha ila hakikisha unaichezea papuchi yake vya kutosha lakini mawazo ya kumuoa futa we chezea tu.
 
Yaani siku hizi wanawake ni wezi sijapata fikiria hivo. Ona hii sms imetumwa na mke wangu leo wakati natafakari naona hii thread. Nimemuuliza anasema eti ni yangu hivi hii ni kweli ''Haaa jaman ni mtandao 2 ww ukiona hakuna m2 utanistua,ila iwe jioni maana hofu ni hapo nje kuna wanaonijua ciunajua tena''
inabid nicheke tu
 
Nimemrudiisha Text kwake kisha nikampgia nika muuliza then NIKACHEKA sanaaaaa!

Anadai alikuwa ana m-Text shosty wake...
Heheheeee, kwani ungekuwa wewe ungesemaje? Hawezi hata siku moja kukuambia anachepuka, na usitegemee akakuambia hivyo hata siku moja. Wewe fahamu hajaanza leo na huenda havhepuki na mmoja, wapo wengi.

Tumia busara kwa kumwambia akumbuke kuwa ukimwi upo, atumie kinga maana hawa viumbe ni vichwa maji, huwa hawana maamuzi juu ya kutumia kinga wanaenda tu wanavyopelekwa waonekane wana upendo, a.k.a mahaba niue
 
daaah...mm pia ashawah kukosea text nikampiga chini sikuhiyo hyo....kuibiwa mi cipendi..bora aniibie nisijue...hakuna bahat mbaya kwenye cheating....akikosea tu..anapigwa chiniii
 
Unaroho ngumu Kk ...lkn ndio pgo hzle tafta chaka usolve yako
 
meseji tata hiyo labda anakuomba mtoke hajisikii kufanya mambo flan na ww kwa hiyo ckujamaa alimpigia cm hakupokea so kuludisha kwa text kumwambia ombi aliloombwa na huo mchepuko wake haliko sawa kwa kuwa hajusikii vizur cku husika

NB kwa hiyo text demu akikomaa anakushinda vizur mkuu kwamba ilikuwa inakuja kwako hata kama huchat nae
 
Back
Top Bottom