Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Yaani siku hizi wanawake ni wezi sijapata fikiria hivo. Ona hii sms imetumwa na mke wangu leo wakati natafakari naona hii thread. Nimemuuliza anasema eti ni yangu hivi hii ni kweli ''Haaa jaman ni mtandao 2 ww ukiona hakuna m2 utanistua,ila iwe jioni maana hofu ni hapo nje kuna wanaonijua ciunajua tena''