Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
asante nimekuzawadia hii thread moods mpeni huyu mkuu hii thred please...
nimepata hamu ya dinner
Last edited by a moderator:
siwezi kua na mwigulu timu moja hata mbinguni likienda peponi ntaomba Mungu anipeleke kuzimu
watamchukia mwigulu lakini umuhimu wake watauona tu ngoja wakati ufike.
Kwanza huyo azam mwenyewe ni mpenzi wa s...a
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Hapa ni jukwaa la siasa!
Alikuwa na bomu mfukoni ila hakupata muda mzuri kulipua!
Nawewe elimika basi japo kidogo, ukiona thread hapa si mahali pake wajurishe mods kwa kubonyeza kitufe cha report abuse na itaondlowa baada ya muda mfupi.Hivi kweli hii ndio thread ya kuleta hapa jamvini tuijadili? MoDS tafadhali ondoa huu upuuzi na uchafu itajaza nafasi bure.
Hivi kweli hii ndio thread ya kuleta hapa jamvini tuijadili? MoDS tafadhali ondoa huu upuuzi na uchafu itajaza nafasi bure.
Shetani anabaki kuwa shetani hata akipakwa mafuta!
...MODS MODS.... throw this rubbish to dustbin...plz.. wtf...!!!
Nilikuwa siamini macho
yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya
Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri
kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
Mwigulu ni mwiba kwenye siasa na kwenye mpira
hahaha we love u Mwgulu nchemba wanayanga tunakukubali sanaShetani anabaki kuwa shetani hata akipakwa mafuta!
hahahaha shkamoo comred smba wa yuda mwgulu nchemba
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala asingekuwa Monsterized!
Duh!ebu mkuu achana na hiyo habari ya pepo na kuzimu!acha kabisaaaaa!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwanza huyo azam mwenyewe ni mpenzi wa s...a
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums