Usichukuizwe hawa ni watu wa kupita YANGA ina mengi ya kujivuni Ritz au Mwigulu hawawezi kuwa ndio msingi wa YANGA iliyanzishwa mwaka 1936, Mwigulu ana nafasi gani ya kukuteteresha wewe ...Historia ya yanga naamini inazidi hata ya Mzazi wa Mwigulu na Ritz kwa pamoja hawa wana nafasi gani ktk historia ya YANGA ? hawana hata thubutu ya kuitia doa YANGA.