Kumbe msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa ni CCM damu

Pale home kwao iringa tunapafahamu vyema Sana, ndugu na jamaa wote tuna info zao, akae mbali na matendo machafu ya sisiem, otherwise......
 
analipwa mshahara kwa kodi zetuwananchi alipaswa awe bila upande, sasa anakula kodi yetu anawatumikia ccm?
Kwani akina Machagadema wanalipwa na nani,hiyo ruzuku inatoka unapokalia kwani? Acheni utoto,wewe unategemea mtu awe ikulu halafu sio CCM? Fikiria vya kuandika sio utoto tu hapa.
 
Yeye ni msemaji wa serikali, na serikali hiyo ndyo ile inayoongozwa na Chama hicho, sasa inakuaje awekwe mtu wa chama kingine?
 
Yeye ni msemaji wa serikali, na serikali hiyo ndyo ile inayoongozwa na Chama hicho, sasa inakuaje awekwe mtu wa chama kingine?

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu- maana yake yeye ni Msemaji wa Rais. Dk Abas ndo msemaji wa Serikali. Yuko sawa kudhihirisha ukada wake.
 
Pale home kwao iringa tunapafahamu vyema Sana, ndugu na jamaa wote tuna info zao, akae mbali na matendo machafu ya sisiem, otherwise......

Duuh, hadi mhula wa kwanza wa awamu ya 5 unaisha bado unaenzi kauli za awamu ya 4!. Wewe utakuwa na "otherwise" maeneo, sio bure.
 
Back
Top Bottom