Kumbe msemaji wa Ikulu, Gerson Msigwa ni CCM damu

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
297
1,000
mnikul.jpg
 

mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,022
2,000
Kama ni mtumishi wa umma basi amekwenda kinyume na sheria ya utumishi wa umma.

Anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama chochote lakini haruhusiwi kufanya shughuli za kisiasa mahala pa kazi au katika masaa ya kazi.

Yeye ni msemaji wa rais na sio mwenyekiti wa CCM. kazi hiyo ni ya polepole na timu yake.

Je jambo hili linashangaza? Hapana, Magufuli hajali kuhusu katiba wala sheria za nchi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom