Kumbe mpenzi wangu anajiuza

Utapata wa kufanana nae, hiyo ndio maana yake.
 
Ye mwenyewe huko tiktok ameuliza wenzie afanyeje mpenzi wake ( ananunua Malaya? Ameuliza
Ye mwenyewe analalamika na kutaka ushauri baada ya kugundua mpenzi wake (wewe) ananunua Malaya
 
Mwanamke ni Muigizaji mzuri sana, ila mwanaume kama ni mtu wa mademu sijifichi
 
Kwa kuwa wote mlikuwa wakosaji ikabidi msameheane na kugegedana hivyo hivyo.
 
Hata hvo sisi wanaume ni maraika...
Hapo dada wa watu ataachwa, na wakati mim naona wote ngoma droo hakuna alie mzidi mwenzie mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…