donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,108
- 21,789
Nimechukua screen shots huko insta, hebu angalia....
.
.
Dah mie siamin mpaka Gwajima au Mange wadhibitishe.
Kabisa mkuu.Aisee! haya mambo hebu tuwaachie nyie wanadaresalama
Mkuu umetaja kiwengwa umenikumbusha mbali sn jamaaUkimkuta binti wa kizungu mombasa,malindi,znz haswa kiwengwa huko. West africa Gabon, Togo ujue ana fuata mihogo ya waafrika. Kuna kitu very common among white girls Sex tourism. Mombasa kuna gaming massage hotspots za mambo hayo kabisa mpaka kwenye internet zinaelezewa.
Harmonize mwache atumie fursa kabla maji hayajapoa.
HhhhhhhDah mie siamin mpaka Gwajima au Mange wadhibitishe.