Kumbe MO11 ulikua kilaza

Kumbe MO11 ulikua kilaza

Sio mbaya ukijipa moyo, miss neddy ameenda kuoga hapa nimeshika simu yake nataka nijibu pale ulipo mention jina lake....

miss neddy 16:22 Today
By utafiti :
Nakuja pm kwanza
hahahaha usije kabisaaaa

kumbe simu unayo pm waenda fanyanini, au changa tu tisha
 
Last edited by a moderator:
miss neddy 16:22 Today
By utafiti :
Nakuja pm kwanza
hahahaha usije kabisaaaa

kumbe simu unayo pm waenda fanyanini, au changa tu tisha

huyu Jamaa muongo muongo tu ananitia biti tu wakati huko pm imefunguliwa kwa ajili yangu
 
(Duh! hii noma sasa!)

Hapana Honey wangu, miss neddy ni shem wangu kwa broo wangu utafiti.

Hata broo anatambua hilo! hapa nakwenda na mila tu.

Cc: utafiti.

Nilikuwa kwenye harakati za mwisho za kukufikiria ila naona umevuka mipaka

Kuanzia leo nalivua pendo lako(sura nimekunja balaa)
 
Back
Top Bottom