hahaha ndo mana mpaka leo ni kabishi sana
Bora uliishia la NNE, mat.ako yangeoza
Hahahahaaa mweeeh
Mimi mkubwaaaaaa sio katoto halafu sio mbishi kama unavyonipakazia kama una nia nyingine sawa
Ndio maana ni bandidu
Ubishi asili yetu kama wewe si mbishi ntakukana sasa hivi
Nikisema tu......
Aibu utaona wewe
Uchonganishi