Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,249
Nini jamani hayo machozi shoo jitahidi atakuja kukufuta machozi yote
Ntajitahidi basi,ila me aaaahh[emoji22][emoji22]
Ntajitahidi basi,ila me aaaahh[emoji22][emoji22]
Basi tumkokote akafie baharini halafu sisi tukimbie eeShoga angu kipi kibaya nimefanya mm jamani naogopa tu ba mkwe wangu asijiue mbele yetu
Haya nambie usije kufwa bure....mkwe wa shunie
Mmmh, mtumishi vipiNtajitahidi basi,ila me aaaahh[emoji22][emoji22]
Ning'ate basi kidogo kidogoUsikimbie rudi nikung'ate sikio
Kiu gani tena jamani mshipaMbona hujaniambia sasa kama una kiu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na isingekuwa msaada wako nisingekuwa hapa
Sasa kukwambia mbele za watu naona aibu
Kwani we unakiu ya nini shunie?Kiu gani tena jamani mshipa
Heeee[emoji32][emoji32]kunifuta teena,.ba mkweee???cheeeNini jamani hayo machozi shoo jitahidi atakuja kukufuta machozi yote
Pako wazi?Nenda pm
Mh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh
Hawa mods vipii au bado ipo njiani jamani
Shunie si mtu mzuri kabisaaaMmmh, mtumishi vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona huna huruma lakiniBasi tumkokote akafie baharini halafu sisi tukimbie ee
Nakung'ata ile kimahabat hautoumiaNing'ate basi kidogo kidogo
Weweee[emoji19]Baba kapata mama, mama kapata baba
Mmmh, mtumishi vipi
Ning'ate basi kidogo kidogo