KAOROGOMA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 531
- 919
Nimeona sehem MMU wana timu ya mpira nikaona huyo aliyevaa namba tano nikafikiri nikawaza nkasema au ndo Miss Natafuta na ka wezele kake? Maana ndo alisema anafanya sana mazoezi, Natania tu ila anzisheni timu ya kupunguza sumu mwilini,