Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,749
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona ipo biyeeee tu, hyo ikitega unaweka bila hata alcohol kichwaniMfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona ipo biyeeee tu, hyo ikitega unaweka bila hata alcohol kichwaniMfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaiyo mlikuwa mnacheza football au?[emoji23][emoji23][emoji23]
No.5Yuko apii apo
Eee tuna timu yetu ya mpira wa miguu,kikapu,neti na michezo mingine mitam tamKwaiyo mlikuwa mnacheza football au?
No.5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cfc wewee[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona ipo biyeeee tu, hyo ikitega unaweka bila hata alcohol kichwani
Nimehisi kuwa aliyevaa jezi namba 5 ni wewe au nimekosea?Eee tuna timu yetu ya mpira wa miguu,kikapu,neti na michezo mingine mitam tam
Huo ubonge umeupata lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu ubonge wangu wa sanamu la michellin kwa nini mshipa umenitukana hivyo jamani
Ukiona watu wanachagua sana hao sio walaji bana,ni wababaishaji tu[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cfc wewee
Huo ubonge umeupata lini?
Oopppss umekosea mm nilibaki kulinda goli hapo sipo[emoji4][emoji12]Nimehisi kuwa aliyevaa jezi namba 5 ni wewe au nimekosea?
Haha alafu jana nimeota unaniambia ''mshipa ujue nakuzimia sana'' nikaanza kukemea ''toka pepo'' nikastuka usingiziniSiku zote mm ni bonge jamani
Mchagua jembe si mkulima atii[emoji23][emoji23]Ukiona watu wanachagua sana hao sio walaji bana,ni wababaishaji tu[emoji23] [emoji23]
Acha uongo hisia zangu hazijawahi kukosea ni weweOopppss umekosea mm nilibaki kulinda goli hapo sipo[emoji4][emoji12]
Haha alafu jana nimeota unaniambia ''mshipa ujue nakuzimia sana'' nikaanza kukemea ''toka pepo'' nikastuka usingizini
Acha uongo hisia zangu hazijawahi kukosea ni wewe
Unaziamini sana hisia zako eee...Acha uongo hisia zangu hazijawahi kukosea ni wewe
Mama mkwe nakazia hapo hapoBa mkwe hapohapo
Usimuangushe ba mkwe wanguUnaziamini sana hisia zako eee...
Hahahah avatar yangu sio fake wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana ebu rudi tena usingizini kulala nakuzimia nakujuaje mie nizimie avatar fake jamani mshipa