Kumbe methali ni matusi!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe methali ni matusi!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Freetown, Oct 28, 2010.

 1. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimejiuliza leo ni miaka mingapi imepita tangu enzi hizo tunafundishwa semi mbalimbali za kiswahili, mojawapo ikiwa ni methali mbalimbali mojawapo ikiwa hii "asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu", swali langu methali kama zimekuwa matusi je zimeondolewa/hazifundishwi tena siku hizi katika lugha ya kiswahili kwa kuwa ni matusi??
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nimekua na swali hilo pia,nahisi ni tusi pale zinapo mhusu mkuu wa nchi
   
Loading...