Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

Hela za wafadhili zenye masharti ya wapinzani kuwa wenyeviti na wajumbe wa kamati za PAC , LAAC na ile ya mashirika ya umma ndio zimewaehusha hivi ? Nyinyi si dona kantri ? , Mpaka mnaenda kutoa watu jela usiku wa manane na kumsafirisha toka Singida mpaka Dodoma kwa gharama zenu? Kila siku huwa nawaambia CCM ni wehu mnakataa ? Mnaona Sasa mnavyojidhalilisha . Mkaenda kumtoa na Salome Makamba jela si mlisema amechoma nyumba ya afisa kipeuo uchwara wenu Patrobas Katambi ? Kesi imeisha? Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana .
Ni kweli na unaamini CCM ni wehu? Haya wanatuchezesha chakacha mchana kweupe Mjini Posta . Tukiwaheshimu tutajua jinsi ya kuwa kabili na silaha za kisiasa zinazo stahiki.

Kesho tuta jaribu kuponya makovu tuliochiwa baada ya uchaguzi 2020, katika kutaka kuponya hayo makovu tusipo kuwa waangalifu Chama tutakiumiza zaidi.

Na Chadema ikidhoofika ni faida kwa CCM.
 
Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM.

Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk.

Ni kama vile BAWACHA imehamia Bungeni.

Hongereni akina Mama wa CHADEMA kwa kujipendelea.

Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka wapeleke jina la nani? Joyce Mukya?
 
Back
Top Bottom