Kuonja ugali na mboga Central ndo wapeleke kwa mhusika

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari Wadau wa jf,

Hoja yangu niulize Huu utaratibu huwa naona upo kila sehemu vituo vyote vya setro Tanzania, kwamba kama una mtu wako yupo Central ukiwa unampelekea Chakula lazima wewe mwenyewe uonje hicho chakula kama ni ugali utamega kidogo na mboga pia,

Harafu ndo kitachukuliwa na kupelekewa ndugu yako au mtu wako yoyote, je huwa wanahisi nini mpaka ule wewe au wanajua umeenda kumuua ndugu yako au jamaa yako,

Nipeni Mwongozo labda mimi ndo sijui.
 
Habari Wadau wa jf,

Hoja yangu niulize Huu utaratibu huwa naona upo kila sehemu vituo vyote vya setro Tanzania, kwamba kama una mtu wako yupo setro ukiwa unampelekea Chakula lazima wewe mwenyewe uonje hicho chakula kama ni ugali utamega kidogo na mboga pia,

Harafu ndo kitachukuliwa na kupelekewa ndugu yako au mtu wako yoyote, je huwa wanahisi nini mpaka ule wewe au wanajua umeenda kumuua ndugu yako au jamaa yako,

Nipeni Mwongozo labda mimi ndo sijui.
Leo nimjiona fala sana.Hivi hata "setro" sijui maana yake nini!Kiswahili kimekua sana halafu mimi bado navaa kamanyola?😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom