Hongera
NimewahiHivi yna2 ushawahi kuwa single kabisa kabisaaa!.?????
Mm kwakweli i cannot recall.
Maana kuna mahusiano nilikuwa nayo Dormant kias kwamba niliyekuwa nae serious akizingua naamsha penzi lililo dormant na lenye uwezekano wa kuamka.
Unashangaa unagombana mchana alaf jion ushapata wa kuwa nae serious japo kwa wiki/miezi michache.
Ila sasahivi nishakua, hayo Mambo nimeyaacha
Nimewahi
Hivi mahusiano Yale ya kujiita wapenzi na hamjawahi kuonana zaidi ya chatting nayo yanaitwaje?.maana nimeshindwa kuyapatia jina..[emoji848]
Ni vyema Kama Sasa umeamua kuyaacha hayo ya zamani .
AhsanteMahusiano ya namna hiyo mm nadhan ni urafiki tu wa karibu.
(Kuongea na kupunguza upweke , kushauriana, kusaidiana nk).
So ni urafiki wa kimahaba mahaba hivi ila sio Mahusiano . (Mahusiano yana yote hayo ya kirafiki na Mengine Mengi zaidi).
Najua mengi yapo humu JF.
Au yna2 ww unadhan pia mtu akiacha kuchat na mtu ambae hawajawah kuonana basi ndio ashakuwa single?.